Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Alafu libolo halijalala limetandika 4 mfululizo bila kulala
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
libolo4 simba 0mwisho ngapi mkuu?
Pia tajiri wa LIBOLO alioneaha ukarimu wa hali ya juu kwa mabinti wa malkia wa nyuki....Nilikuwa naangalia rekodi ya Libolo kwa mechi 5 zilizopita, limeshinda 1 tu dhidi ya Simba, limetoa sare 2 na kupigwa mara 2 hivyo Simba ni wachovu tu. Wallah huu ni muda muafaka wa kuwatandika 6-0.
Pia tajiri wa LIBOLO alioneaha ukarimu wa hali ya juu kwa mabinti wa malkia wa nyuki....
Aliwasafirisha kwa ndege zake ndogo mbili toka Luanda mpaka mji ambako mechi ilichezwa....Na huko walifikia kwenye hoteli ya huyo tajiri iitwayo Ritz.....Mabinti wakajisahau wakidhani wapo New York kumbe jamaa anatengeneza mazingira ya kuwapiga bado 4.....
Chezea LIBOLO wewe...
Aisee hawa libolo walikunywa mkuyati bila shaka!
Hahahahahahaha
jf raha tupu
nasikia Simba wote wamevaa vi pedo ili wamtege LIBOLO vizuri hahahaa
Lazima mtu alazimishwa kujiuzulu leo hasa msomali!
hmmmmm Ruttashobolwa.
Lazima mtu alazimishwa kujiuzulu leo hasa msomali!
Pia tajiri wa LIBOLO alioneaha ukarimu wa hali ya juu kwa mabinti wa malkia wa nyuki....
Aliwasafirisha kwa ndege zake ndogo mbili toka Luanda mpaka mji ambako mechi ilichezwa....Na huko walifikia kwenye hoteli ya huyo tajiri iitwayo Ritz.....Mabinti wakajisahau wakidhani wapo New York kumbe jamaa anatengeneza mazingira ya kuwapiga bado 4.....
Chezea LIBOLO wewe...
Si ndio baada ya huo ukaribu simba wakaamua kushukuru kwa kutumbuiza kibao cha taarabu
Pia tajiri wa LIBOLO alioneaha ukarimu wa hali ya juu kwa mabinti wa malkia wa nyuki....
Aliwasafirisha kwa ndege zake ndogo mbili toka Luanda mpaka mji ambako mechi ilichezwa....Na huko walifikia kwenye hoteli ya huyo tajiri iitwayo Ritz.....Mabinti wakajisahau wakidhani wapo New York kumbe jamaa anatengeneza mazingira ya kuwapiga bado 4.....
Chezea LIBOLO wewe...
ndio maana kwenye msimamo ipo nafasi ya 12 ila simba ya tatu hao al nasri wapo juu sasa usilinganishe kiaje pole sana mkuu ndio mpira huo..south sudan na angola wapi na wapi? kumbuka south sudan (national team au club) haijawahi kushinda mechi yoyote ya kimataifa! libolo ina wachezaji 6 kwenye timu ya taifa ya angola iliyocheza afcon mwaka huu. dunia mbili tofauti
Sasa msomali ajiandae kuchapa lapa