Simba vs Berkane, Simba atafungwa magoli 3

Simba vs Berkane, Simba atafungwa magoli 3

Cha msingi utoe ahadi ufanywe nini kama utabiri wako wa kichawi ukienda ndivyo sivyo,la sivyo tukuchukulie ni walewaleee HEWA kama kina Labani og ,kubwa la wachawi kwa Simba
 
Mambo hayo. .... Ngoja Nipige goti kuiombea team yang kwanza ... ..

Naimani tunamfunga yule barcane 2 kule kwao.

Af akija Huku ni kimoja tu . Then ubingwa wetu.
 
Back
Top Bottom