Penalt ya kupewa.,rose mhando anahusika hapa
Kwa pesa za EPA...ccm ndo wanaharibu simba
Laana ya timu yangu ni kuwa na Mwenyekiti mwenye ushirika na kile kisichowapendezesha watanzania kwa sasa(CCM) haya tumchague tena kisha tushuke daraja. Aliniuzi sana Wakati ule wachezaji wanaenda sijui iliku Algeria au wapi kisha akasema eti watavaa suti ili wajulikane wanatoka TZ inayoongozwa na CCM na JK. My foot,tulimtuma aseme hayo?au hizo suti zilitoka Lumumba? Xyz@.,)sh t&..
Kwa pesa za EPA...
Simba wameshatupia bao la pili. Hivyo mpaka sasa Simba 2 na Azam 2. Timu ya Simba inaonekana kutulia sasa katika kipindi hiki cha pili, na naona wamebadili mfumo na kucheza 4 4 2, tofauti na kipindi cha kwanza walipocheza 4 3 3.
Pole sana...mboni wanatakuleta mambo ya urafiki cup hawa azam bwana..
Dakika ya 79 simba wanapata goli la 3...ni mwinyi kazimoto...........Dakika ya ngapi?
Hahahaahaaaaaa...... Jamaa ana hasira!
Bocco kawakosa kosa tena, alikuwa yeye na Kaseja. Alipigiwa pasi ndefu na Kipre Tchetche!