Simba v/s Azam ngao ya hisani

Simba Simba Simba Simba
Simba Simba Simba Simba
Simba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba SimbaSimba Simba Simba Simba
 
...mkuu unaangalia au sikiliza redioni ? Umesema sasa ni 442 wamefanya subs zozote au.. Plz tujuze hasa kama beki imetulia au kuna wapya wameingia ?
 
Mavuvuzela yote ya Yanga huwezi kuyaona tena kwenye uzi huu, hongereni sana washabiki wote wa mnyama na pole ndugu yetu Ndetichia na wenzako.
 
..Ngoja tusikie kutoka kwa yule bloga mmoja, anajifanya nae sasa kawa m-belgiji na maandiko yake ya mtakatifu kila siku, yaani kila article hata wakiifunga timu ya UMISETA ya Zanaki ataandika maandiko makubwa na chini kuweka ijui rekodi zake n.k Huyu lazima analipwa zile hela za EPA, maana sio kawaida...!!

Mavuvuzela yote ya Yanga huwezi kuyaona tena kwenye uzi huu, hongereni sana washabiki wote wa mnyama na pole ndugu yetu Ndetichia na wenzako.
 
Mapema nilisema hakuna soka apo ni maigizo ya cuf na bwana wake ccm.. Azam ife ife ife kabisa imekuja kuua soka letu, mambo gan ya kwendekeza undugu ivi.
 
Mavuvuzela yote ya Yanga huwezi kuyaona tena kwenye uzi huu, hongereni sana washabiki wote wa mnyama na pole ndugu yetu Ndetichia na wenzako.

daaahhh nimechoka kweli asante sana.. tokea penati tu nilijua tushafungwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom