Simba v/s Azam ngao ya hisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba v/s Azam ngao ya hisani

Discussion in 'Sports' started by Fidel80, Sep 11, 2012.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Timu bado zipo vyumbani
  muda wowote mtanange utaanza
  Kila la kheri watani zetu
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyu Kaseja kila mechi anadaka yeye anatumia kizizi nini?
   
 3. t

  testa JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tupeni report wakuu,
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sikiza FM 89.0 studio..wanauleta mchezo huo masikioni mwa wananchi
   
 5. K

  Konaball JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  dakika ya 2 John Boko Adebayo AZAM 1 SIMBA 0
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Heeh dakika ya 2 tyr kitu?? leo nyingi eeh
   
 7. K

  Konaball JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Azam wanashambulia kama nyuki hapa lango la simba wanakosa bao lingine, Himid Mao anaonyweshwa kadi ya njano kwa mchezea rafu Okwi hapa
   
 8. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vipi Ngasa anakipiga leo?
   
 9. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Simba bado imekuwa na wakati mgumu kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Leo katika mechi yake ya Ngao ya Hisani ikiwa ni mechi maalum ya ufunguzi wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, inayocheza na Azam FC imeendelea kutoa matumaini finyu kwa mashabiki wake.
  Ikiwa ni dakika ya pili tu, washaruhusu goli la kwanza na kukoswa koswa goli la pili katika dakika ya sita. Kwa ninavyoona Simba wamekuwa na tatizo kubwa katika safu ya ulinzi. Mabeki hawana umakini na wanashindwa kujipanga vizuri kucheza mipira ya kona. Acha tuendelee kufuatilia mchezo huu.
   
 10. K

  Konaball JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  dakika ya 10 naona simba sasa wametulia wanapeleka mashambulizi katika goli la Azam
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  endelea kutu habarisha kiongozi!!!hasa kila simba akipigwa bao!!!
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kufa simba,kufa,fia mbali kabisa.tunaomba update
   
 13. K

  Konaball JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Azam wanakosa bao baada Mao Mkami kumpiga kanzu Kaseja
   
 14. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Kwa hali ilivyo Simba wakifungwa mechi ya leo itasababisha vurugu kubwa ndani ya Simba. Wamekoswa koswa jingine sasa hivi, ni dakika ya kumi na sita. Kaseja alikuwa ashaenda marikiti.
   
 15. D

  Daxdaxa New Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka endelea kutupaa habari.... na ni kwanini hata chanel moja ya kibongo haioneshi
   
 16. mwathu

  mwathu JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  simba taifa kubwa so tuna imani tutalamba juice za azam
   
 17. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ...Duh sasa thread mia mia za nn, si mchngie ktk zile zilizopo ?? Yaani dk 10 za mwanzo kelele hivi je ikifika dk y 70 kutakuwa na threads ngapi ??
   
 18. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Hahahaahaaaaaa...... Jamaa ana hasira!
  Bocco kawakosa kosa tena, alikuwa yeye na Kaseja. Alipigiwa pasi ndefu na Kipre Tchetche!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naona watani zangu kifuli zinapwita tu
   
 20. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mhhhh, shikamoo kaseja mara mbili mfululizo
   
Loading...