Simba v/s Azam ngao ya hisani

Simba ni wakali sana pale mbele..... Wanafanya beki ya Azam ilazimike kuwacheza rafu mara kwa mara ili kuwadhibiti, na mpaka sasa! Na beki zake za pembeni zinapandisha vizuri sana mashambulizi yake. Ila safu yake ya ulinzi bado haijakaa sawa mpaka sasa, ni mbovu mno na haina maelewano.

Na kwa bahati mbaya Simba washapigwa bao la pili dakika ya 36, ikiwa ni kabla hata ya mapumziko! Kuna uwezekano zile tano walizofungwa Yanga zikawazukia Simba leo.
 
crashwise umebadilisha ID, na washerekea tano mpaka uzikwe kweli rage kiboko yenu
 
Simba ni wakali sana pale mbele..... Wanafanya beki ya Azam ilazimike kuwacheza rafu mara kwa mara ili kuwadhibiti, na mpaka sasa! Na beki zake za pembeni zinapandisha vizuri sana mashambulizi yake. Ila safu yake ya ulinzi bado haijakaa sawa mpaka sasa, ni mbovu mno na haina maelewano.

Na kwa bahati mbaya Simba washapigwa bao la pili dakika ya 36, ikiwa ni kabla hata ya mapumziko! Kuna uwezekano zile tano walizofungwa Yanga zikawazukia Simba leo.

good!endelea kukamatilia hapo kati ya miguu wasirudishe hata moja!!!!
 
Nilisema washambuliaji wa Simba ni wakali sana, hadi beki ya Azam inalazimika kuwachezea rafu ili kuwadhibiti! Hatimaye Okwi kakwatuliwa ndani ya boksi la penati. Simba wakapata penati iliyozaa bao la kwanza. Kwa hiyo sasa Azam 2 na Simba 1. Mpira ni mapumziko.

Mimi nimepita tu,nitarudi hapa tena baada ya dk 90 za mtanange huu....
 
Laana ya timu yangu ni kuwa na Mwenyekiti mwenye ushirika na kile kisichowapendezesha watanzania kwa sasa(CCM) haya tumchague tena kisha tushuke daraja. Aliniuzi sana Wakati ule wachezaji wanaenda sijui iliku Algeria au wapi kisha akasema eti watavaa suti ili wajulikane wanatoka TZ inayoongozwa na CCM na JK. My foot,tulimtuma aseme hayo?au hizo suti zilitoka Lumumba? Xyz@.,)sh t€&..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom