Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,450
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
 
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe hadi 2030 haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
Yanga hawahitaji marefa kushinda ubingwa. Kubali mlikuwa na timu mbovu mbele ya Yanga kwa misimu hiyo minne .

Otherwise kuichangia Ccm ni uoga wa jambo usilolijua. Halina maana hata kidogo
 
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
Leo nimethibitisha pasi na shaka, Mangungu ni kiongozi makini.
 
Safi sana.. Sipendi majitu yanayojikomba kwa mijianasiasa
 
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
Kama simba haijachangia mimi kama mwana yanga naiombea ushindi simba
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
Ukiwa na QUALITY players huwezi kuwa na mawazo ya ajabu kama haya.
Kwahyo hata msimu ujao timu yenye quality players itanyanyua kombe
 
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
Misimu 4 mfululizo yanga kabeba ndoo aliichangia ccm shingapi ili abebe ndoo? Mmekuwa watu wa ovyo sana kudandia ajenda za kipuuzi badala ya kutengeneza timu yenu,,unadhani bila timu Bora utafanikiwa kwa lipi,,si utabaki unarukia rukia Kila jambo ili kujifariji,
Kwamba Simba kakosa kombe misimu 4 kwakuwa akuichangia ccm? Kama ni ivyo basi mtakuwa na utindio wa ubongo vichwani mwenu sio Bure!
 
Yanga hawahitaji marefa kushinda ubingwa. Kubali mlikuwa na timu mbovu mbele ya Yanga kwa misimu hiyo minne .

Otherwise kuichangia Ccm ni uoga wa jambo usilolijua. Halina maana hata kidogo
CCM wanatudisha Hela za baisikeli, pikipiki hata machungu ya kununua mabasi
 
Mimi binafsi sijafurahishwa na walichokifanya yanga... Yanga ni taasisi imekusanya wanachama Wa vyama vyote pamoja na waumini wa dini zote sio jambo zuri viongozi wake kuonyesha mapenzi au upendeleo wa wazi wazi kwenye upande flani hii inatengeneza nyufa katika uongozi naamini viongozi wanapaswa kujitafakari katika hili
 
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.

kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa, viongozi, n.k.
Mimi ni Simba kuliko wewe shabiki maandazi, kama una mchezaji kama Hamza au unasajili Pipino wenzako wanaleta akina Ecua, Doumbia unamlalamikia nani maku wewe
 
Kwa walichokifanya Yanga Bora niamie Mtibwa sugar kuliko usengerema wa kujipendekeza CCM,mm ni mwanachama hai naichangia club yangu na siyo mwanachama WA CCM,kuanzia Leo nachoma kadi ya uanachama na vitu vyote vinavyohusiana na Yanga
 
Akichangia Azim Dewji ni sawa tu Mo Dewji kuchangia. Azim Dewji kachangia.
 
Back
Top Bottom