Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,809
Mkuu unajisikiaje? Al Masry kapigwa kwenye mkono alioshonea mshono na mdunga uzi Utopolo kabaki na bumbuwazi🤣🤣🤣Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,
Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa
Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa
Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina, modiba,mudau, aliende , Ribeiro n k
Leo CEO Zubeda anaropoka tu
Tuko na Al Masry wapige kwenye mshono