Simba tumesahau Ile kauli mbiu " UBUNTU BOTHO"

Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,

Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa

Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa

Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina, modiba,mudau, aliende , Ribeiro n k

Leo CEO Zubeda anaropoka tu

Tuko na Al Masry wapige kwenye mshono
MUNGU IBARIKI AL MASRY
 
Nasikia Zubeda kazi yake kubwa ni kuwapiga wachezaji vikofi vya mabega akienda kuwatembelea
Jana anapayuka tu!
Al Masry for ever 💪💪💪💪
 
Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,

Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa

Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa

Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina, modiba,mudau, aliende , Ribeiro n k

Leo CEO Zubeda anaropoka tu

Tuko na Al Masry wapige kwenye mshono
nyuma mwiko simba itawafungashia pakage ya 4:1 kesho na almasry
 
Kwani hamkuenda kuwapokea Airport? Nani ashangae nyie utoz kushabikia team ya nje? Ikiwa hata Prezo wenu alivaa hadi jezi ya team pinzani. Lol

Ila masandawana waliwafanyia tukio ambalo hamtasahau kamwee. Mtaweweseka miaka yote. Woiiiiih.
😂😂😂😂😂😂
 
Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,

Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa

Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa

Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina, modiba,mudau, aliende , Ribeiro n k

Leo CEO Zubeda anaropoka tu

Tuko na Al Masry wapige kwenye mshono
Pole
 
Back
Top Bottom