Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Ivi uongozi wanafatiliaga na Statistics za mchezaji kweli??Au ataifunga tu anafaa aya yakusajili kwa kukomoana yatakuja kututokea puani enewei chikwende mtoto wa chikumbalaga karibu UNYAMANI
simbasctanzania-20210116-0001.jpg
 
"Yanga na Simba zimetuchelewesha Sana"naanza kuamini Sasa,Moja ya Usajili makini wa Kukurupuka!..Sijui Kama wenzetu pia hufanya hivi,Kisa kakufunga Unamsajili!
 
Miquissone Luis alitufunga kisha tukamsajili nani haijui shughuli yake....hoja hii kwa chikwende haina mashiko alicheza vizuri harare lakini pia alikuwa hapokonyeki mpira kirahisi na ana kasi nzuri.
 
Msichoelewa ninyi nikujilinganisha na yanga,kwani kipa bora katoka paka fc na kocha bora katoka mapaka fc sasa kama ni hela ziunganishe na zao halafu ujiulize je mapinduzi alieichukua faida yake iko wap?kunywa maji kidogo upoze koo.

Sasa Yanga nayo ni timu au ni mkusanyiko wa genge la wahuni si afadhali ungenitajia Azam au Namungo?? Ila mna haki ya kushangilia sababu hamkubeba kombe lolote muda mrefu....!
 
Sasa Yanga nayo ni timu au ni mkusanyiko wa genge la wahuni si afadhali ungenitajia Azam au Namungo?? Ila mna haki ya kushangilia sababu hamkubeba kombe lolote muda mrefu....!
Yanga yenyewe sio team ni club ndio maana kwa sasa hakuna team itakayokaitisha ikaondoka na ushindi mbele ya yanga sasa ww unaejiita unateam pambana na team yako tuache wenye club tuendeleze ubabe,et namungo na azam hata soo huoni pata haja kubwa ukalale naona imekubana
 
Chuma Kingine Kimetuaaa

Anaitwa Peter Muduhwa
Kule Harare Wanamuita Berlin Wall

MASTER OF DEFENCE
IMG_20210126_134701_816.jpg
simbasctanzania_3___CKgSzISMv5H___.jpg
IMG_20210126_134701_817.jpg
simbasctanzania_1___CKgSzISMv5H___.jpg
 
Back
Top Bottom