Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Kwa kweli JS Saoura wamecheza vizuri sana nyumbani kwao. Tusifikiri tunakwenda kwao na kuchukua points kirahisi. Tupambane kweli. Cha muhimu ni kushinda nyumbani na kupambana kupata ushindi au sare ugenini.
Kwa kifupi unaona tofauti ya kiwango cha mchezo kwenye hii ligi na kuangalia mipira yetu ya ligi. Wachezaji wana viwango vya hali ya juu. Kazi ipo.
 
Nimecheki ratiba hapa vita anamechi mbili mfululizo za nyumbani natamani ingekuwa ndo sisi simba

Sent using Damu ya Yesu
 
Back
Top Bottom