Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

kwa jinsi tulivyoitandika Mbebane mabao yote yale tena wakiwa kwao.. hahah hapa ndo tunaasema mambo ni hatari fire
 
Siti ya mbele

Kuna timu 4 zinazocheza soka la burudani, kuvutia Sana!
1. Barcelona
2. Chelsea
3. Arsenal
4. ......malizia mwenyewe unaijuaaa! Kiungo wake anaitwa "Mwamba wa Lusaka"
 
  • Thanks
Reactions: Tui
*Yanga ni utamaduni wa Mtanzania,ni hazina ya urithi wetu na hifadhi ya mapokeo,ni Tunu ya Wananchi na alama ya Uhuru wetu. Ewe Mwanajangwani usikose jpili 9/12/2018 kusherekea siku ya Uhuru kwa kuwatizama mabingwa mara nyingi Tanzania Yanga wakichuana na Biashara toka Musoma alikozaliwa Mpigania Uhuru Baba wa Taifa letu na Shabiki Nguli wa Yanga Hayati Mwl Nyerere*

*Tusherekee Uhuru wetu kwa kuitizama Tunu ya Taifa Letu Yanga...Usikose ewe Mwanachi*

Daima mbele nyuma mwiko
 
Watu wanazungumzia ligi ya kimataifa wengine bado wapo na ligi .
Mabingwa wa nchi za Afrika wanachuana fanyeni heshima anzisheni yenu ya ligi.
 
Simba mnyama unyamani, walio na kichefu chefu watafute ndimu kwa sasa, zitawasaidia sana.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Siti ya mbele

Kuna timu 4 zinazocheza soka la burudani, kuvutia Sana!
1. Barcelona
2. Chelsea
3. Arsenal
4. ......malizia mwenyewe unaijuaaa! Kiungo wake anaitwa "Mwamba wa Lusaka"
Huyo mwamba sijui wa wapi..mchezaji wa mechi nyepesi...fuatilia mechi anazoshine...ndio maana Zambia hawajaqualify AFCON
 
*Yanga ni utamaduni wa Mtanzania,ni hazina ya urithi wetu na hifadhi ya mapokeo,ni Tunu ya Wananchi na alama ya Uhuru wetu. Ewe Mwanajangwani usikose jpili 9/12/2018 kusherekea siku ya Uhuru kwa kuwatizama mabingwa mara nyingi Tanzania Yanga wakichuana na Biashara toka Musoma alikozaliwa Mpigania Uhuru Baba wa Taifa letu na Shabiki Nguli wa Yanga Hayati Mwl Nyerere*

*Tusherekee Uhuru wetu kwa kuitizama Tunu ya Taifa Letu Yanga...Usikose ewe Mwanachi*

Daima mbele nyuma mwiko

Ungeanzisha thread yako sio kuchafua thread za watu ambazo hazihusiani Na ulicho andika
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sina shaka kuwa mpaka sasa simba sport club na mtibwa sport club ndio team zinazojielewa kwa nini zipo kwenye mashindano ya CAF
Kaka%20Salim%2Bvoda%2020170225_223005.jpeg
 
Hata thread huwa na mada maalum.Watu wanazungumzia tufaha wewe unakuja na
viazi .
Mpira wa mchangani na kwenye madimbwi ya maji yana threads zake.
Heshimuni thread za mpira wa kimataifa.
 
Back
Top Bottom