Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

Muro ni mpumbavu sana hana akili kwa hadhi yake ya ukuu wa wilaya hatakiwi kuwa mtu wa kuropoka ovyo
Makonda yupo kamati ya simba lkn haropoki ovyo kwa ajili ya cheo Chake sasa yeye muro hajui heshima yake ipo wapi
 
Na hapo hawawezi kumn'goa Kwa sababu kwenye sekta ya " Chimba Fukia" Jamaa anasemekana yupo vizuri
Mkuu!
a. Nisahihi kwa Jerry M, kusema waziwazi kuwa alisimamia matibabu yote ya Manara?

b. Nisahihi kwa Jerry M. kumwita Manara ni zimwi la simba, na kwann hataki kutoka simba??

c. Nisahihi kwa Jerry M. Kuhusianisha mpira na issue za kidini, akijua fika dini husika si ya mtu mmoja??

Tuambie pia.
a. Ni lini Haji M. alitoa maneno ya kejeli kwa Jerry M. hasa yanayodhalilisha ubinadamu?

b. Ni lini Haji M. alisimama akahusianisha Elimu ya Jerry na Mpira??

c. Nilini Haji M, alisimama akongelea mambo binafsi ya Jerry M, na hasa ya kifamilia??

Tujibu haya maswali, kabla ya kutanguliza issue za inferiority complex wala kudeka.

Binafsi, naona ni sahihi kwa haji kurudisha hiyo one M, kuliko kuwa kuwa kila asimamapo anazungumzui issue ya ugonjwa wa mtu na matibabu yake!! ni lini utani wa usimba na yanga unafika huko???

Hapana, kuna haja ya hawa wasemaji kiendelea kuitana majina ya kawaida kama , Mnyama, Utopolo, Ndala, Mbumbumbu fc, etc etc.

Naamini kwa maneno ya Gerry, Mtu yeyote asingevumilia hasa kwenye mambo ya kujisifia kumtibisha H.M na hii imekaa ki ubinadam zaidi!!

Tujadili bila kujali itikadi za mpira! kwa kuwa hata Manara anataniwaga sana
 
Ni Klabu ya Kipuuzi tu pekee ndiyo itashindwa Kuona Thamani na Tunu Kubwa aliyonayo Msemaji wa Simba SC Haji Sunday Manara. Ninachojua tu kwa sasa ni kwamba hakuna Simba bila Manara na hakuna Manara bila Simba. Na ninavyowajua Viongozi wa Simba SC na hata hao Serikali hawatopoteza muda Wao Kufanyia Kazi huu Upuuzi wako hapa. Wachanganye wanayanga ( Utopolo FC ) Wenzako wote ndani na nje ya Tanzania bado hawana uwezo mkubwa wa Akili alionao Haji Manara na haishangazi pia kuona anashabikia Klabu ya Watu Werevu nchini ya Simba Sports Club. Na muonyeni upesi DC Jerry Muro kwa Kumwambia asidhani yale Matendo yake aliyokuwa akiyafanya alipokuwa akiishi maeneo ya Kunduchi Mtongani tumeyasahau. Na tunashangaa kwanini hakutokea pia katika Msiba wa Mwanamke mmoja hivi aliyeugua Ugonjwa Mmoja HATARI sana duniani ( siyo COVID-19 ) kutokana na kwamba walikuwa ni Pika na Nipakue katika hali ya Kibaiolojia ya Wanadamu.

Cc: LIKUD
 
We Haji Manara unapenda Sana kutania na.kukashifu wenzako lakini wewe ukitaniwa unakuwa mkali, hizo NI Double Standard.

Jerry Muro.kaongea Kwa utani Tu " Haji Manara arudi kwenye kazi ya ualimu WA madrassa" wewe umefanya press conference unalalamika eti Uislamu umekashifiwa na umeenda mbali zaidi kuwa mobilise waislamu wote nchini bila kujali wapo Simba au Yanga waungane na wewe.
Huo NI utoto chief.

Acha hizo mkuu . Mimi NI Muislamu kama wewe na nimesoma madrassa Ile Ile uliyosoma wewe pale Kariakoo Kwa Ustadh Rama.but sijaona tatizo lolote Kwa muislamu kuambiwa wewe ulikuwa mwalimu WA madrassa.

Kauli yako inaweza kuleta machafuko nchi nzima.

Ishu yenyewe NI Osh Kosh B'Gosh. Mambo ya udini NI hatari Sana. Uzembe kidogo Tu watu wanapeleka ngariza. Mzee Kanyaga lakini taratibu.

Hakukuwa na ulazima wowote kufanya press conference kuzungumzia kuhusu suala la udini.

Vita ya udini NI mbaya Sana shekhe wangu.

Uislamu unafundisha kuwa na busara na busara ni kukaa.kimya.

Simba mdhibitini Kijana wenu maana his mouth is free like Nelson Mandela. He can just open up his mouth and talk anyhow. Hapana sio Sawa hata kidogo.

Haji usituletee mambo ya udini kwenye Mpira.

Kama unajijua Ur short tempered basi punguza utani Kwa watu.

Afande Sele aliwahi kukuchana kejeli zako Kwa Yanga zimekuwa too much kiasi kwamba unaweza kumsababidhia Mo hasara cause mashabiki WA Yanga wanaweza Ku boycott kununua bidhaa za Mo.

Guide Ur mouth pls

# Ur a much know.
# u know everything.
# hupendi kukosolewa.

# Una kejeli wenzako wewe ukikejeliwa unakuwa mkali.

# Unadeka Sana . Baba ako alikudekeza mno. Nakumbuka Enzi hizo ukiwa bado Bwana mdogo Baba ako alikuwa anakuja mazoezini amekupakia kwenye gari watoto tukawa tunasema Manara ana mtoto WA kizungu.

# kikubwa zaidi ur suffering from a very dangerous disease known as " INFERIORITY COMPLEX".

# SIMBA SC ITS HIGH TIME NOW U GUYS START TO TEACH UR GUY HOW TO SPEAK FROM BOTH SIDES OF HIS MOUTH BEFORE IT IS TOO LATE.

# Sheikh Mohamed Yusuf alianzaga hivi hivi and now his powers are uncontrollable and cannot be shaken like the Mount zion
Wore wawili ni waropokaji wakubwa...Jerry muro hakustahili kusema alivyosema...haji manara naye ni ovyo kabisa...ana mdomo mchafu mno ...ni hatari kwa usalama wa nchi...Jerry naye ana matatizo ..,wore wawili waliwahi kukabiliwa na tuhuma huko nyuma...
 
Siku hiyo tukae jukwaa moja mtani ili ukizimia nikupe first aid

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅 Umenikumbusha nyuma Mtani hii game imepita ya mbili mbili kuna mbaba nyuma yangu saa ile tunafungwa la pili alizimia aiseee.

Nikawa najisemea hivi inakuwaje hii. 🤔🤔 Mi na ushabiki wangu wote huu kulia tu sitarajii ndio iwe kuzimia. Lol
 
KABISA Jamaa anazingua Sana. Ishu yenyewe Osh Kosh B'Gosh. Hajui kuhusu nguvu ya udini. Ukifanya mchezo kidogo Tu watu wanapeleka ngariza.
Binafsi sikupenda huyo Jerry alivyosema akawe mwalimu wa madrasa ina maana walimu wa madrasa wanaudhaifu kama wa Manara? Yeye ni mkuu wa wilaya aache ushabiki wa kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuendelee kubishana tu
FB_IMG_15828886632387661.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom