Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,384
- 95,233
Hyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
Naona umerudi mama, karibu...!
Huyu alikuwa wa kuondoka ila aliombwa abaki baki tu
Hyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
Yule ndio mbeba mikoba pale Msimbazi.Kinachonishangaza miaka yote ni pale makocha wanakuja na kuondoka LAKINI MATOLA YEYE YUMO TU. Hadi najiuliza matola ana mikoba ya uganga wa Simba au.
Huyu jamaa ni rahisi sana kujenga fitina kwa kocha mgeni ambaye yeye atakuwa hamkubali
Kwani hakuna magwiji wengine wa Simba hadi iwe ni Matola tu
Peleka cv yake pale Simba uwe coach weweKinachonishangaza miaka yote ni pale makocha wanakuja na kuondoka LAKINI MATOLA YEYE YUMO TU. Hadi najiuliza matola ana mikoba ya uganga wa Simba au.
Huyu jamaa ni rahisi sana kujenga fitina kwa kocha mgeni ambaye yeye atakuwa hamkubali
Kwani hakuna magwiji wengine wa Simba hadi iwe ni Matola tu
Ndiyo kazi ya ukocha ilivyoSimba wamemtia stress sana huyu jamaa
Madunduka wamefanya ukocha uwe mgumu sanaaaNdiyo kazi ya ukocha ilivyo
Mbinu mbadala kwa kikosi kipi?Hamna kocha hapo ...... Hana mbinu mbadala kazi kufokea wachezaji .... CV hata kina makamba wanazo za kufoji.
Benchika ndiye kocha kimeo kuliko makocha wote walioajiriwa na simba toka Mo aichukue timu.Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
----
Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya Simba baada yakufikia makubaliano ya pande zote mbili.
Kwa sasa Juma Mgunda atakuwa Kocha mkuu wa muda kwa Simba na msaidizi wake ni Seleman Matola, Michael Igendia atakuwa kocha wa viungo.
View attachment 2976046
Najiuliza tu .... Sawa Yeye Benchika Mke wake anaumwa ...je wasaidizi wake nao wanaguliwa na Nini mpaka waachwe!??Simba wamemtia stress sana huyu jamaa