Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,553
- 72,507
Nipo okey ila jana niliumia .....ila nimeamka poa nimeshatafuta vya kunipa furaha hapa..Kwema mtani wangu upo ok kweli 😂😁
Nipo okey ila jana niliumia .....ila nimeamka poa nimeshatafuta vya kunipa furaha hapa..Kwema mtani wangu upo ok kweli 😂😁
Polee sana ila soon timu ikisajili itafanya vizuri sanaNipo okey ila jana niliumia .....ila nimeamka poa nimeshatafuta vya kunipa furaha hapa..
Mpaka timu ipate muunganiko it takes time hata ukisajir wachezaji wa real Madrid, inter Milan,buyenPolee sana ila soon timu ikisajili itafanya vizuri sana