Okrah
Sacko
Ni watu
Makolo wakiwatema najua profesa Nabi lazima atavuta chuma hapo
Watani hapa Mmepoteza bonge la mchezaji kuna siku nilienda kuangalia mazoezi ya Simba nilishangazwa sana na uwezo wake wa ajabu nilimuona Okrah akifunga magoli huku akiwa amekaa bench
Anafunga magoli lkn yupo benchWatani hapa Mmepoteza bonge la mchezaji kuna siku nilienda kuangalia mazoezi ya Simba nilishangazwa sana na uwezo wake wa ajabu nilimuona Okrah akifunga magoli huku akiwa amekaa bench
Daah huyu mtu natamani Nabi amuone.
Kitu kama hukielewi tambua hakikuhusu..pita tuSijaelewa mnatanganza mnaanza kuboresha au mmeshaanza? Kuna ulazima wa kutangaza kuwa mnaanza?
Uanze mwezi wa 7 halafu supa ligi mwezi wa 8.Hao wachezaji utawakuta wanakusubiri wwWangesuburia ligi iishe watimue nusu ya kikosi. Afu July waanze usajili.
Kinachofanyika leo ni kama kutaka zuia kitachofanyika Ikulu
LILEPO CLODY MAKABIPale Sudan Pana Vita yule winga mkongo atatufaa Sana lilepo
I love SIMBA whatever the situation... Naiombea kwenye vilinge vyoteKlabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.
===========
"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja Augustine Okrah hatakuwa sehemu ya timu yetu msimu ujao". Taarifa kutoka Simba SC.
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.
===========
"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja Augustine Okrah hatakuwa sehemu ya timu yetu msimu ujao". Taarifa kutoka Simba SC.
Luc Eymael huko aliko anakuchabo tu. Manara naye kwa mbali anakuchekelea kwa haya unayoyaandika.Wakati hao viongozi wakitangaza kuanza kwa hayo maboresho ya kikosi chao kilichokosa hata medali ya kombe la mapinduzi msimu huu, mashabiki wao hata hawajali eti!!
Badala yake wengi wako busy kuponda mafanikio ya Yanga! Kweli aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, hakukosea.
Ni taratibu tu mkuu. Sidhani kama sawadogo atabaki. Akibaki basi hayo viongozi wote watakuwa wamejaza mavi kwenye vichwa vyoa badala ya ubongo na watakuwa wanastahili vibokoUnamwacha Okrah unabaki na Sawadogo
Hapo sawaNi taratibu tu mkuu. Sidhani kama sawadogo atabaki. Akibaki basi hayo viongozi wote watakuwa wamejaza mavi kwenye vichwa vyoa badala ya ubongo na watakuwa wanastahili viboko