Simba SC watangaza kuboresha kikosi kuelekea msimu mpya 2023/24

Qatif

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
379
859
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.

===========

"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja Augustine Okrah hatakuwa sehemu ya timu yetu msimu ujao". Taarifa kutoka Simba SC.
 
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.
Sijaelewa mnatanganza mnaanza kuboresha au mmeshaanza? Kuna ulazima wa kutangaza kuwa mnaanza?
 
Ulazima wa kutangaza upo, utajuaje kama si kuanza kutangaza maboresho ya Kikosi.
 
Shida ya Simba utafikiri wapo "serious" lakini wapi. Watachozungumzia ni mipango mizuri sana ya namna ya kuboresha kikosi lakini sasa ikifika wakati wenyewe wa kuboresha kikosi saa saba mchana unashtukia Kyombo kwenye ukurasa wao.

"Underdog" wenzao kwenye super 8 Mazembe walishaanza kuboresha timu yao zaidi ya mwezi mmoja ulioisha kwa kuita wachezaji mpaka Walebanoni kufanya majaribio wao Simba wapo tu wamekaa eti wanafanya mipango.

Simba sajilini tangazeni wachezaji kambi ianze mapema wachezaji wazoeane na benchi la ufundi achaneni na mambo ya saa saba mchana kwani yamewasaidia nini kwenye misimu hii miwili iliyopita.
 
Wangesuburia ligi iishe watimue nusu ya kikosi. Afu July waanze usajili.
Kinachofanyika leo ni kama kutaka zuia kitachofanyika Ikulu
Hata sasa haizuii kutimua baadhi ya wachezaji hawa kwa mechi hizi mbili tena ni vizuri mchezaji akajua hatma yake mapema.

Okrah
Nyoni
Siwadogo
Okwa aliye kwenye mkopo
Akpan aliye kwenye mkopo
Boko apewe kazi nyingine
Mkude
Banda
Beno anayedaiwa kuondoka
Gadiel
Onyango
 
Shida ya Simba utafikiri wapo "serious" lakini wapi. Watachozungumzia ni mipango mizuri sana ya namna ya kuboresha kikosi lakini sasa ikifika wakati wenyewe wa kuboresha kikosi saa saba mchana unashtukia Kyombo kwenye ukurasa wao.

"Underdog" wenzao kwenye super 8 Mazembe walishaanza kuboresha timu yao zaidi ya mwezi mmoja ulioisha kwa kuita wachezaji mpaka Walebanoni kufanya majaribio wao Simba wapo tu wamekaa eti wanafanya mipango.

Simba sajilini tangazeni wachezaji kambi ianze mapema wachezaji wazoeane na benchi la ufundi achaneni na mambo ya saa saba mchana kwani yamewasaidia nini kwenye misimu hii miwili iliyopita.
Naunga mkono hoja..!
 
Hiki ni kikosi kizima wakibadili,
Lasivyo wanaenda kule walipotoka msinu ulopita
Onyango
Nyoni
Kapama
Okrah
Gadiel
Jimson
Sawadogo
Boko
Kennedy
Sako
Mosses

Aisee kwani simba wanahitaji wachezaji wengi sii ongezeko la wachezaji wanne tuu simba ipo poa kabisa. Pale apatikane senta beki mmoja katili, streka gk na mido kwisha kazi
 
Wakati hao viongozi wakitangaza kuanza kwa hayo maboresho ya kikosi chao kilichokosa hata medali ya kombe la mapinduzi msimu huu, mashabiki wao hata hawajali eti!!

Badala yake wengi wako busy kuponda mafanikio ya Yanga! Kweli aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, hakukosea.
 
Hiki ni kikosi kizima wakibadili,
Lasivyo wanaenda kule walipotoka msinu ulopita
Onyango
Nyoni
Kapama
Okrah
Gadiel
Jimson
Sawadogo
Boko
Kennedy
Sako
Mosses
Banda
Sasa wanafanya overhaul basi hapo yanga bingwa tena msimu ujao
 
Back
Top Bottom