Simba SC watangaza kuboresha kikosi kuelekea msimu mpya 2023/24

Okrah
Sacko
Ni watu
Makolo wakiwatema najua profesa Nabi lazima atavuta chuma hapo
 
Okrah
Sacko
Ni watu
Makolo wakiwatema najua profesa Nabi lazima atavuta chuma hapo

Screenshot_20230605-105833.jpg
 
Watani hapa Mmepoteza bonge la mchezaji kuna siku nilienda kuangalia mazoezi ya Simba nilishangazwa sana na uwezo wake wa ajabu nilimuona Okrah akifunga magoli huku akiwa amekaa bench
Anafunga magoli lkn yupo bench
 
Okrah ni bonge la mchezaji. Lakini watu wengi hawaangali upande wake wa pili ambao ni majeraha ya mara kwa mara. Nafikiri viongozi wa Simba wameliangalia hili kwa mapana yake labda pamoja na urahisi wa kuvunja mkataba wake..
 
Wangesuburia ligi iishe watimue nusu ya kikosi. Afu July waanze usajili.
Kinachofanyika leo ni kama kutaka zuia kitachofanyika Ikulu
Uanze mwezi wa 7 halafu supa ligi mwezi wa 8.Hao wachezaji utawakuta wanakusubiri ww
 
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.

===========

"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja Augustine Okrah hatakuwa sehemu ya timu yetu msimu ujao". Taarifa kutoka Simba SC.
I love SIMBA whatever the situation... Naiombea kwenye vilinge vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.

===========

"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja Augustine Okrah hatakuwa sehemu ya timu yetu msimu ujao". Taarifa kutoka Simba SC.

Sauti ya Ng'ombe ni TAPELI tu ,anawahadaa wanamsimbazi ,mwisho wa siku anawapiga NDOIGE anasajili waliotemwa kwenye vilabu na wazee wa sagula sagula.
 
Simba ni sawa na CCM kwenye kampeni unaweza kusema Tz tunaenda kuwa Kama ulaya 🙄, Simba msimu wa usajili ndio timu pekee Tz inayoongoza kusajili mitandaoni. Saizi wamesajiri Lillepo, Fabrice ngoma, Fofana, manzoki, Chivaviro... 😅
 
Wakati hao viongozi wakitangaza kuanza kwa hayo maboresho ya kikosi chao kilichokosa hata medali ya kombe la mapinduzi msimu huu, mashabiki wao hata hawajali eti!!

Badala yake wengi wako busy kuponda mafanikio ya Yanga! Kweli aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, hakukosea.
Luc Eymael huko aliko anakuchabo tu. Manara naye kwa mbali anakuchekelea kwa haya unayoyaandika.
 
Unamwacha Okrah unabaki na Sawadogo
Ni taratibu tu mkuu. Sidhani kama sawadogo atabaki. Akibaki basi hayo viongozi wote watakuwa wamejaza mavi kwenye vichwa vyoa badala ya ubongo na watakuwa wanastahili viboko
 
Back
Top Bottom