Simba SC vs Ashanti United

Simba SC vs Ashanti United

sijui ashanti wanakosea wapi wanacheza sana hadi simba wanapaki basi lakini hawashindi sijui tu..
 
Ngoja nimpeleke singano akafanye majaribio anderletch ya ubelgiji au rubin kazan
 
Dk 41 kipindi cha II

Ashanti 2-4 Simba
 
...taarifa 😀J RANKEEM AMEFARIKI: DJ mkongwe hapa nchini, Rankeem Ramadhan amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mwananyamala, alikuwa akisumbuliwa na tumbo.
 
Nawashauri Mbeya city wasijaribu kuingiza timu uwanjani maana kuna maafa yatawakuta.
 
...taarifa 😀J RANKEEM AMEFARIKI: DJ mkongwe hapa nchini, Rankeem Ramadhan amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mwananyamala, alikuwa akisumbuliwa na tumbo.

Tunashukuru sana kwa taarifa yeye mbele c nyuma njia ni moja.Mwenyezi Mungu akampuzishe salama
 
kadi nyekundu aman simba anadaka mpira nje ya eneo la 18
 
...taarifa 😀J RANKEEM
AMEFARIKI: DJ mkongwe hapa nchini, Rankeem Ramadhan amefariki dunia
mchana wa leo katika Hospitali ya Mwananyamala, alikuwa akisumbuliwa na
tumbo.

Aisee..., R.I.P DJ R
 
Back
Top Bottom