Huyu Messi wa bongo ni soooo...
Kadi nyekundu
Mshiko wenu tu kwani tuna kizuizi...Huyu lazima aende Yanga!
Huyu lazima aende Yanga!
acha tu kesho watalijua jiji maana soka la azam ni ulaya hatutaki mbwembwe..
wataondoka na refa na mabomu ya machozi pia..
Aman simba kaona bora lawama kuliko fedhea.
Mshiko wenu tu kwani tuna kizuizi...
Dk za kawaida zimeisha...
Dk 2 za ziada.
Mbeya city wapo uwanjani tayari wanacheki game
Mimi nakataa Mbeya City siyo habari ya mjini! Habari ya Mjini ni Ramadhani Singano, timu yake ndiyo inamwangusha.