Shabiki wa simba anataka eti mwombeki hata atolewe kwa kadi nyekundu!
dk 26 kipindi cha ii
Ashanti 2-4 Simba
Wanywa viroba si mliwaona walivyokuwa wanarusha viti kwajil ya droo.
Na leo sijui watafanya nini
hahahaah! Hao ndio wanaiharibu simba kiaina.Kuna jamaa hapa anasema amewapgha washkaji zake waliopo ground na amewaambia wahakikshe kibadeni na julio hawatoki salama kama hawatoshnda!
Hahaha wazee wa droo
amefanya nini?
Wanywa viroba si mliwaona walivyokuwa wanarusha viti kwajil ya droo.
Na leo sijui watafanya nini
anasema eti anawakaba wachezaji wenzake!
hahahaah! Hao ndio wanaiharibu simba kiaina.
Wanasiasa wanaita "ufaulu usioridhisha" hahaha!apa bado goli 1 ili iwe div. 5 kama wale wazee wa kaunda
haya sub kwani imwekwisha?