Full Time:
Ashanti 2-4 Simba
Kesho watakutana na dhahama ya Magoli mpaka waombe Poh.
Nina uhakika huo ndio ushindi wa mwisho kwa timu ya thimba, raundi ya pili ni mwendo wa droo na kubakwa tu
Me naona adhabu pekee waliostahili wavunja viti (Simba) ni kucheza mechi 5 bila mashabiki wao kuwepo uwanjani.
...kutoka Uwanja wa Taifa DSM mpira umekwisha.
Tukutane CHAMAZI kesho...
mkuu ulikuwa umejificha mpaka ashanti wamesawazisha