Simba SC vs Ashanti United

Simba SC vs Ashanti United

hawa ashanti watajuta kuwa fahamu wazee wa droo hiki kichapo ni hatari..
 
Kuna jamaa hapa anasema amewapgha washkaji zake waliopo ground na amewaambia wahakikshe kibadeni na julio hawatoki salama kama hawatoshnda!
 
dk 26 kipindi cha ii

Ashanti 2-4 Simba
 
Wachezaji wa simba wanalinda kibarua cha kibadeni.
 
Last edited by a moderator:
Shabiki wa simba anataka eti mwombeki hata atolewe kwa kadi nyekundu!
 
Back
Top Bottom