Simba SC vs Ashanti United

Simba SC vs Ashanti United

Simba wamerudisha mpira kati...wanapata bao la pili
 
Tambwe anaipatia goli 2 , singano kafanya kazi nzuri
 
Simba wanarudisha tena mpira kati....wanaandika bao la tatu!!!
 
Kiemba na henry joseph wametoka kaingia said delma na luciam
 
wekundu wa msimbazi simba leo saa kumi kamili jioni wanashuka uwanja wa taifa kakabiliana na watoto wa jiji ashanti united katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu tanzania bara.
Wachezaji wa simba leo wamehaidi kutoa dozi nene iliyotukuka kwa vijana wa ashanti baada ya kukosa matokeo mazuri katika mechi nne zilizopita, wapenzi wa simba mnaombwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa taifa kuipa nguvu timu
update
kikosi cha simba
1. Abuu hashim
2. Haruna shamte
3. Issa rashid'' baba ubaya''
4. Gilbert kaze
5. Hassan khatib
6. Jonas mkude
7. Ramadhan singano
8. Henry joseph
9. Betram mombeki
10. Hamis tambwe
11. Amri kiemba
sub: Dhaira , lucian, christopher na redondo.

ipo siku watu wooote wataishabikia simba
 
Back
Top Bottom