American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 356
Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza;
Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa.
Inaiwakilisha Tanzania kimataifa na hata ukitaja top 20 clubs in Africa huikosi mana inashika nafasi ya 15 kiubora.
Wapinzani watapinga lakini ndio ukweli wakati mwingine tukubali ukweli.

Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo 