Simba SC kuzindua viwanja viwili vikubwa nchini

Simba SC kuzindua viwanja viwili vikubwa nchini

Dube aliombewa hawezi kusimama apakwe vilainishi ati anapakwa mafuta kama David

5imba nyie wapakwa mafuta sio YANGA
Tunazungumza kwa ushahidi. Unadhani hapo mchungaji anampulizia pafyumu?

1000072242.jpg
 
Hima TFF na Bodi ya Ligi pamoja na Wizara ya Michezo uwanja wa Mkapa tunaomba umalizwe haraka kabla ya Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba na RS Berkane.... Ni aibu Mnyama kuchukua kombe la Shirikisho nje ya Uwanja wa Mkapa.. Uwanja wa Mkapa umebeba Historia kubwa ya mnyama..

Ahasta.
Hiyo kapotea njia kufika nusu fainali,inaweza kuwa ni matokeo ya mbuzi kupanda basi.
 
Bro wachana na simba bana... yani mpaka mimi naona aibu.. Hizi slogan zenu hazina hata mvuto... Ogopaa unatoa vijembe lakini ni kama watu wanakupuuza... Nikushauri kwasasa wachana na Simba... Ipo level zingine
Nusu fainali ya loosers,mwaka huu angalao mnakuwa mwakanusu fc.
 
Bro wachana na simba bana... yani mpaka mimi naona aibu.. Hizi slogan zenu hazina hata mvuto... Ogopaa unatoa vijembe lakini ni kama watu wanakupuuza... Nikushauri kwasasa wachana na Simba... Ipo level zingine
Level za shirikisho?
 
Sasa mbuzi wa kupanda kwenye basi usiogope?Ingekuwa lori ungesema kapandishwa.
Tembea uone. Huku tulipo ni kawaida sana watu kupanda kwenye mabasi na kuku, mbuzi.

Na huyo mnayemsikiliza na kuchukua kila analosema kama ni msahafu, amewaambia wenye akili huko kwenu ni wawili tu yaani hata yeye amekiri hana akili, sijui una mtazamo gani kuhusu hilo?
 

MAMBO 20 USIYOYAJUA KUHUSU SIMBA SPORTS CLUB​

9 years ago

1. Simba ndiyo timu ya kwanza nchini kupanda ndege na hii ilikuwa mwaka 1963 tena wakati huo taifa la Tanzania halikuwa limeundwa, ilikwenda Ethiopia kwa mwaliko wa rais wa taifa hilo Haile Selassie.

2. Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa jezi na hii ilikuwa 1938 ilipocheza na kombaini ya mabaharia wa meli zilizotia nanga kwenye bandari ya Dar es salaam.

3. Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa viatu nchini na hii ilikuwa1949 ilipocheza na kombaini ya jeshi la majini Navy ya Afrika Kusini.

4. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa na basi lake yenyewe na hili lilinuliwa mwaka1968.

5. Simba ndiyo timu ya kwanza kumiliki jengo lake lenyewe na hili lilizinduliwa 1971.

6. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa bingwa wa ligi kuu nchini1966.

7. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwakilisha nchi na hii ilikuwa 1967.

8. Simba klabu ya kwanza nchini kwenda Ulaya na hii ilikuwa 1974 ilipokwenda Poland

9. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa mabingwa wa Afrika Mashariki na kati na hii ilikuwa 1974.
10.Simba ndio mabingwa wa kihistoria wa Afrika Mashariki na Kati, ndiyo timu iliyochukua ubingwa mara nyingi kuliko klabu yeyote Afrika Mashariki na Kati (Champs off all time.)

11.Simba ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kufika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika na hii ilikuwa1974.
12.Simba ndiyo timu pekee nchini na Afrika Mashariki kufika fainali ya kombe la Caf na hii ilikuwa1993.

13.Simba ndio timu inayoshikilia rekodi Afrika kama si duniani kwa kufungwa na Mufurila Wonderers ya Zambia magoli 4-0 na kwenda kuibamiza 5-0 kwao, mbele ya Rais wao Kenneth Kaunda.
Hii haijafanywa na klabu yeyote Afrika na nina mashaka duniani, hii ilikuwa 1979.

14.Simba ilicheza katik hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika 2003 kwa mafanikio makubwa kulinganisha na timu yoyote nchini.
15.Simba ndiyo timu pekee kuivua ubingwa klabu bingwaAfrika nadi Zamalek hii ilikuwa pia 2003.
16.Simba ndiyo klabu pekee nchini kuzifunga timu zote za mataifa ya kiarabu kuanzia· Waliowatoa mwaka jana Etoile du Sahel (Tunisia)·
Widad Casablanca (Morocco)·
El Setif (Algeria)·
El Harach (Algeria)
halaf tumezifunga timu zote kubwa za Misri Zamelek,Al Ahly, Arab Contractors, Ismailia, Mehala, Al kubra na timunyingine mnajua huwa inafanywaje ikigusa kule.
Pia imeshaitoa El Merekh ya Sudan 1994 katak klabu bingwa ya Afrika.
Simba pia imeshazifunga miamba ya Afrika Magharibi kuanzia Asec, Asante Kotoko, Hafia ya Guinea hata mabingwa wa kihistoria wa Zambia Nkana Red Devils.

17. Tukirudi juu Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa suti na hii ilikuwa 1974 ilipokwenda Poland.

18.Simba ndiyo klabu pekee nchini kujenga jengo lake yenyewe kwa nguvu za wanachama na mashabiki, wenzetu ni mkopo na msaada toka kwa mzee Karume100%, Simba ilipewa kiasi flan na mzee karume baada ya jengo kukamilika na hii ilikuwa mwanzoni mwamiaka ya 70.

19.Angalia idadi ya wachezaji wa Simba walioenda Ulaya kucheza soka la kulipwa.· Nico Njohole· Deo Njohole· Kassim Matitu· George Kulagwa
Huku ikiwa na makumi ya nyota wake kadhaa waliowahI kutapakaa sehemu mbalimbali duniani.
Nikutajie wachache.· Khalid Abeid· Haidar Abeid· Martin Kikwa· Athman Mambosasa· Zamoyoni Mogella· Hamis Gaga· Lilla Shomari· Iddi Pazi· Kiwelu Mussa· George Masatu· Hussein masha na wengine wengi.bila kumsahau nguli wa sasa mbwana samata.mutoto ya msimbazi.
Na hapa kumbukumbu zikae vizuri , Sunday na Kassim Manara wakati wanaenda kucheza Ulaya hawakuwa wachezaji wa Yanga, walikuwa wakicheza Pan African.

20. Nimalizie kwa kuwaambia FIFA ilizitaja timu bora za karne kwa kila nchi kwa Tanzania Simba ilitajwa ndio timu bora ya karne na wenye mpira wao FIFA.
Nenda kwenye rekodi za Caf ndio utajua nani wa kimataifa bainaya Simba na wengine.
Simba ndio klabu bora ya muda wote Tanzania (best club of all time)

Source Capo delgado
Mimi NI shabiki WA Simba ila hapa umeongea pumba tupu ata kubwa viatu umeweka unatudhalilisha Tu Wana simba
 
Tembea uone. Huku tulipo ni kawaida sana watu kupanda kwenye mabasi na kuku, mbuzi.

Na huyo mnayemsikiliza na kuchukua kila analosema kama ni msahafu, amewaambia wenye akili huko kwenu ni wawili tu, sijui una mtazamo gani kuhusu hilo?
Mbuzi kupanda kwa ajili ya safari sawa,je uwanjani anaenda kufanya nini tena ndani ya basi la timu?
 
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi.

Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja viwili vikubwa zaidi nchini baada ya matengenezo makubwa, Uwanja wa Mkapa na uwanja wa New Amaan Complex. Baada ya hapo wengine ndiyo wataruhusiwa kuvitumia.

Simba ndiyo timu ya kwanza kutumia pitch mpya ya New Amaan Complex na mashabiki wa Simba ndiyo wa kwanza kwenda kukalia viti vipya vya uwanja wa Mkapa.

Nuneni ila hamna kitu mnaweza fanya! Kwa kukumbushia, nimestaafu kubishana na mashabiki wa vitimu vidogovidogo.
Mkuu niliona ni shabiki una akili kumbe hazimo aisee.
Game ya Yanga na Wale wa Ethiopia waliopigwa Sita mwaka jana ilipigiwa hapo Amani Complex
 
Kwa hizi hoja naamini hata wanasimba wenzio hawatatumia nguvu kukutambua kua wewe ni mbumbumbu mwenziwe
 
Mkuu niliona ni shabiki una akili kumbe hazimo aisee.
Game ya Yanga na Wale wa Ethiopia waliopigwa Sita mwaka jana ilipigiwa hapo Amani Complex
Uliponiona nina akili mbona haukuja kuniambia?

Halafu elewa hoja. Pitch ya sasa ni mpya hakuna timu imewahi kukanyaga pale, wametoa ile artificial ya zamani wamepanda majani asili.
 
Mnatumia nguvu kubwa sana kulazimisha furaha tatizo ikifika mechi ya derby mnaingia mitini
 
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi.

Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja viwili vikubwa zaidi nchini baada ya matengenezo makubwa, Uwanja wa Mkapa na uwanja wa New Amaan Complex. Baada ya hapo wengine ndiyo wataruhusiwa kuvitumia.

Simba ndiyo timu ya kwanza kutumia pitch mpya ya New Amaan Complex na mashabiki wa Simba ndiyo wa kwanza kwenda kukalia viti vipya vya uwanja wa Mkapa.

Nuneni ila hamna kitu mnaweza fanya! Kwa kukumbushia, nimestaafu kubishana na mashabiki wa vitimu vidogovidogo.
Serikali inabidi ifute hizi wikiendi ndefu maana watu wanatumia uhuru vibaya.
 
Sitaki kuongelea simba Day.

Kuanzisha kuuza Jersey.

Kuvaa jersey za mashindano ya kimataifa.

Sitaki kuwaambia Kucheza mbele ya Rais wa FIFA.

Sitaki kuwaambia kuhusu Timu ya kwanza kucheza na VAR nk
Duh
 
Nimesikitika sana kusikia kuwa wakati Simba itakuwa katika uwanja huu ikiingia fainali ya CAFCC.....

1000072967.jpg

Yanga watakuwa wanachuana na Jang'ombe huko Pemba.

1000072966.jpg
 
Back
Top Bottom