DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
- Thread starter
- #21
Huu ujadala wa uwanja wenu niliufunga kwa uzi huu.Suala la muda tu
Uwanja utauona
Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto
Kama mko serious, waambieni viongozi wenu waanze kwanza na uwanja wa mazoezi. Dalili za mtu kushindwa jambo ni kutaka kuruka hatua na kukimbilia mambo makubwa wakati madogo yanamshinda. Msitake sana kushindana na Simba. Pigeni hatua kwa speed mliyojaaliwa.