Simba SC kuzindua viwanja viwili vikubwa nchini

Huyu akiniona jukwaani huwa anakimbia ananiogopa mno
Alikuja analia anaomba kibarua hata kazi za ndani
Na Mimi Huwa natumia huo mwanya kuhakikisha anakosa amani
Angetengeneza ID mbili Moja ya kulia Lia nyingine ya kuvimba na kujifanya mwamba.
 
Yes! Mfalme Daudi alipakwa pia na hata Yesu Kristo.
Kwaiyo Daudi alikua akicheza mpira!!
Mliambiwa fanyeni usajili mkawa mnaleta dhihaka, Angalia sasa mnavyo dhalilika na mambo ya kishirikina!!
Yaani ushirikina umewakolea mpaka mnafikia hatua ya kuamini Kibu na Mpanzu watawaletea kombe. 😀😀
 
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi.

Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja viwili vikubwa zaidi nchini baada ya matengenezo makubwa, Uwanja wa Mkapa na uwanja wa New Amaan Complex. Baada ya hapo wengine ndiyo wataruhusiwa kuvitumia.

Simba ndiyo timu ya kwanza kutumia pitch mpya ya New Amaan Complex na mashabiki wa Simba ndiyo wa kwanza kwenda kukalia viti vipya vya uwanja wa Mkapa.

Nuneni ila hamna kitu mnaweza fanya! Kwa kukumbushia, nimestaafu kubishana na mashabiki wa vitimu vidogovidogo.
Comrade, kwani wewe ni mwimbaji wa taarabu! Mbona unapenda sana vijembe!!!
 
Kwaiyo Daudi alikua akicheza mpira!!
Mliambiwa fanyeni usajili mkawa mnaleta dhihaka, Angalia sasa mnavyo dhalilika na mambo ya kishirikina!!
Yaani ushirikina umewakolea mpaka mnafikia hatua ya kuamini Kibu na Mpanzu watawaletea kombe. 😀😀
Daudi alipakwa mafuta wakati alikuwa tu ni mchunga kondoo huko msituni. Jaribu kupata tafsiri sahihi ya "ushirikina" kabla ya kuendelea kulirusharusha hilo neno kila mahali!
 
Usikimbie hoja yako!
Hoja ni kuwa 5imba ni wapakwa mafuta wa Yanga
Yanga alifika anapaka mafuta anateleza
Screenshot_20250415-200842.png
 
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi.

Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja viwili vikubwa zaidi nchini baada ya matengenezo makubwa, Uwanja wa Mkapa na uwanja wa New Amaan Complex. Baada ya hapo wengine ndiyo wataruhusiwa kuvitumia.

Simba ndiyo timu ya kwanza kutumia pitch mpya ya New Amaan Complex na mashabiki wa Simba ndiyo wa kwanza kwenda kukalia viti vipya vya uwanja wa Mkapa.

Nuneni ila hamna kitu mnaweza fanya! Kwa kukumbushia, nimestaafu kubishana na mashabiki wa vitimu vidogovidogo.
Tusiache kuwaona wazee wakiingia na mbuzi uwanjani lakini.
 
Daudi alipakwa mafuta wakati alikuwa tu ni mchunga kondoo huko msituni. Jaribu kupata tafsiri sahihi ya "ushirikina" kabla ya kuendelea kulirusharusha hilo neno kila mahali!
Daudi hakupakwa mafuta vilainishi😀😃😂
Kupakwa mafuta kibiblia ni kubarikiwa au kupewa cheo kiungu

Sio 5imba ainame eti anapakwa mafuta kama David
 
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi.

Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja viwili vikubwa zaidi nchini baada ya matengenezo makubwa, Uwanja wa Mkapa na uwanja wa New Amaan Complex. Baada ya hapo wengine ndiyo wataruhusiwa kuvitumia.

Simba ndiyo timu ya kwanza kutumia pitch mpya ya New Amaan Complex na mashabiki wa Simba ndiyo wa kwanza kwenda kukalia viti vipya vya uwanja wa Mkapa.

Nuneni ila hamna kitu mnaweza fanya! Kwa kukumbushia, nimestaafu kubishana na mashabiki wa vitimu vidogovidogo.
Punguza upumbavu kijana...
 
Daudi hakupakwa mafuta vilainishi😀😃😂
Kupakwa mafuta kibiblia ni kubarikiwa au kupewa cheo kiungu

Sio 5imba ainame eti anapakwa mafuta kama David
Prince Dube alipakwa mafuta hayo hayo waliyopakwa wachezaji wa Simba ila cha ajabu sikuona unakuja na hizi kejeli.
 
Dube aliombewa hawezi kusimama apakwe vilainishi ati anapakwa mafuta kama David

5imba nyie wapakwa mafuta sio YANGA
 
Hima TFF na Bodi ya Ligi pamoja na Wizara ya Michezo uwanja wa Mkapa tunaomba umalizwe haraka kabla ya Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba na RS Berkane.... Ni aibu Mnyama kuchukua kombe la Shirikisho nje ya Uwanja wa Mkapa.. Uwanja wa Mkapa umebeba Historia kubwa ya mnyama..

Ahasta.
 
Mnaogopa mbuzi ila mkiitwa kwenye supu mnajazana na kupigana vikumbo. Mnaishi dunia gani hiyo mnayoogopa wazee?
Sasa mbuzi wa kupanda kwenye basi usiogope?Ingekuwa lori ungesema kapandishwa.
 
Back
Top Bottom