Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,677
Menejimenti ya Simba Ina shida kubwa sana enewei Yanga SC bingwa😃😁😁😁
🤣🤣🤣,mi ahmedy TU ananichekesha sana🙌,,anavyojua kujifariji Sasa🚮Hata Onyango tusubiri apostiwee, 😂😂😂😂
Itakuwa mangungu😁Wee ni Mangungu au Matola?? Unikomee
Unaona kinachofanyika ni sahihi? Km sio uendawazimu ni kitu gani?? Khaaah
Tumeisha kwakweli!....viongozi wanatuzima midomo wanaSimba kwa wanayoyafanya na mwenendo wa timu kwa sasa uwanjani ndo unatia mashaka makubwa huko mbeleni.Mbona Hata Onyango atarudi, muhimu simu yake iwe On, Mangungu anapigia Simba Veterans wotee.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Bado anacheza tu 😁😃😃
Ubingwa msimu huu ni wa kwenu kama kweli Chama amerejea kwa mara ya tatu kwenye timu.Em utulie nawee, haya hayakuhusuu.
Mxxxxiiiieeeeew.
Pumbaaaav!!Ubingwa msimu huu ni wa kwenu kama kweli Chama amerejea kwa mara ya tatu kwenye timu.
Wapi MVP Jan Shale Ahuwa!
Mi ndo Mangungu nambie una shida ganiWee ni Mangungu au Matola?? Unikomee
Unaona kinachofanyika ni sahihi? Km sio uendawazimu ni kitu gani?? Khaaah
Ouk sawaa!!Mi ndo Mangungu nambie una shida gani
Sijui Ahmed Ally atasemajeYaani nafasi kadhaa za international player unamleta Chama?
Simlisema ni duka, ni Mzee, ni chiba
Dume hilo, sio dadaWe dada punguza hasira