Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

Nimetukana huko kwa page ya team, nimeenda kwa page ya Ahmed Ally nimemchamba.

Nasubiri kesho niingie kwa Chama mwenyewe namchamba, si anajifanya anatema mbovu kwa comment, kesho ntamfurahisha.

Simba inakera na kuudhi mnoo, aaaah.
We dada punguza hasira
 
Kwani kumetokea nini mpaka ukafikia hiyo hatua ya kutukana na kuchamba kiasi hicho kwenye page za watu!
 
Bado CHAMA ana mswada pale ..Tuache mihemko.....
After all washabiki ndio tunao sababisha pressure club inatumia na kusajili kila wakati
 
Back
Top Bottom