BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,976
- 8,269
Binafsi mimi ni mwanachama wa Yanga ila Huwa napenda kuona Simba ikiwa imaraNadhani viongozi wetu wa matatizo ya akili Sasa najiuliza scout wanafanya kazi gani??
Simba imerogwa inaitaji msaada!!
Afadhali umeongea ukweli mkuu,Binafsi mimi ni mwanachama wa Yanga ila Huwa napenda kuona Simba ikiwa imara
Sasa hii Simba unaona kabisa yaani haina mpango wa kuinuka
Simba hawezi kushinda mechi yoyote
dahView attachment 3532303View attachment 3532304View attachment 3532305View attachment 3532306mie nacheka,wadau wamepatwa na hasira hasa🙌