Magoti, Mangungu, na Mo Dewji ndio chanzo kikuu cha kusuasua kwa Simba. Wala shida si uhaba wa pesa za kufanyia usajili.inatakiwa lipite fagio la chuma
Kwani kuna nini huko?Nimetukana huko kwa page ya team, nimeenda kwa page ya Ahmed Ally nimemchamba.
Nasubiri kesho niingie kwa Chama mwenyewe namchamba, si anajifanya anatema mbovu kwa comment, kesho ntamfurahisha.
Simba inakera na kuudhi mnoo, aaaah.
dAh sjui wanatuchukuliaje aiseNimetukana huko kwa page ya team, nimeenda kwa page ya Ahmed Ally nimemchamba.
Nasubiri kesho niingie kwa Chama mwenyewe namchamba, si anajifanya anatema mbovu kwa comment, kesho ntamfurahisha.
Simba inakera na kuudhi mnoo, aaaah.
Mazungumzo yakumrudisha Okwi pia yameanza huko.😀😀😀Simba mipango imeisha.
Mimi nataka wamrudishe Juma Nyoso ili awe anawapapasa makalio hawa viongozi wa Simba wasiojielewa.Mazungumzo yakumrudisha Okwi pia yameanza huko.😀😀😀Simba mipango imeisha.
Washatuchosha,Haina mvuto, hakuna jipya,kinachoendelea Simba SC ni zaidi ya dharau dah