Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,771
- 4,491
Match Day
Vikosi vya Leo.
1. Simba
2. Pamba SC
Mechi imeanza (Kick Off)
4' Hakuna bao pande zote
08' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18, anapiga Ahoua inaishia kwenye mikono ya kipa wa Pamba.
Game on
0-0
11' Mpira unaendelea umiliki kwa Simba, wanaingia sana kwa Pamba.
Refa anamuonya kipa wa Pamba kwa kupoteza muda.
Game On
0-0
13' Simba wanapata kona, wanaanza kona fupi inapigwa inakuwa tena kona.
14' Simba wanapata Penati baada ya pamba kucheza rafu.
Anapiga Penati Ahoua.
Goooooooooooal....
Jean Charles Ahoua anakwamisha kamba nyavuni.
15' Simba wanapata goli lao la kwanza kwa penati.
1-0
18' Simba wanafanya mashambulizi makali kwenye lango la Pamba! Inaishia kwa kipa.
Simba wanapeleka mashambulizi makali kidogo.
Game On
1-0
36' Simba wanapata Faulo nje kidogo ya kumi na nane.
Anapiga Ahoua.
Goooooooooooal chuma cha pili.
Inakwenda moja kwa moja.
Jean Charles Ahoua....Goal la pili kwa Simba.
2-0
39' Pamba wanapata free kick lakini wanajichanganya wenyewe.
Wanastraiker mbovu sana.
Game On
2-0
45' Zimeongezwa Dakika 4.
Game on
2-0
45+5' Refa anampati Kipa wa Pamba yellow kadi kwa kupoteza muda! Ambao tayari ulishakuwa umeisha.
HT
Simba 2 - 0 Pamba.
2nd Half
47' Elia Mpanzu anapiga pasi ndefu inafikia kwa Ahoua anaunga kichwa...
Goooooooooooal Ahoua anapiga Hatrick hapa KMC.
Chuma cha Tatu.
Game On
3-0
55' Substitutions kwa Simba.
Debora Inn
Kibu D Inn
Valentino Inn
Ngoma Out
Ahoua Out
Shomari Out
Game On
3-0
64' Pamba wanapata kona! Inapigwa inakuwa butu! Simba wanatoa, wanajaribu kaunta anapigwa mguu Mutale, Mchezaji wa Pamba anapewa kadi ya njano.
Game On
3-0
67' Pamba wanafanya sub
Kaseke Inn
Kamara Out
70' Substitutions kwa Simba.
Chasambi Inn
Mutale Out.
Game On
3-0
73' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18 anaipiga Kibu Denis inababatiza inaakuwa kona.
Kona inapigwa inaishia kuwa Goal Kick.
Game On
3-0
74' Pamba wanapata free kick nje kidogo ya 18! Baada ya kaseke kuchezewa Faulo.
Inapigwa inaenda juu kabisa.
3-0
78' Simba wanapata kona inapigwa kipa anaitema.
Atebaaaaaaaaaaaaaaaaa
Gooooooooal la nne kwa Simba.
Simba wanapata goli la 4
4-0
84' Ateeeeeeebaaaaaaaaaa
Goooooooal la 5.
Simba wanapata goli la 5 kupitia kwa Ateba.
5-0
86' Gooooooooooooooaaaaaal Momanyiiiiiiiiiiiiiii
Pamba wanapata goli zuri kabisa hapa.
5-1
88' Inapigwa moja Kwa Simba anaitoa Camara inakuwa kona! Wanapiga kina inakuwa butu.
5-1
90+3' Red card kwa Majimengi wa Pamba.
Wanapiga free kick Simba inaishia kwa Kipa.
Game On
5-1
90+7' FT
Simba 5-1 Pamba