Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,588
Nakazia Mkuu.Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi.
Sasa muwe mnatulia hivyohivyo.
Nakazia Mkuu.Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi.
Sasa muwe mnatulia hivyohivyo.
Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo)Hahahaaa. Hivyo hapo umechangamka eee? 🤣🤣🤣
🤣 ulinzi huo kwiio. 🤣Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo)
Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani.
SIMBA NGUVU MOJA