Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6 huku Simba Wakiruhusu magoli 2 katika michezo 6. Timu hizi hazijawahi kupata sare ya mabao. Leo wanakutana kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dares Salaam. Je, Coastal watafuta uteja?

Ni leo saa 1:00 usiku

======

Mchezo umemalizika uwanja wa Benjamin Mkapa kwa matokeo yasiyo na Magoli. Kila upande umelamba kadi nyekundu Coastal wakitangulia na baadae mchezaji wa Simba

FT: Simba SC 0-0 Coastal Union
Taarifa mubashara itoe na hitimisho hata pale tukifungwa, kama ilivyotolewa kwa sare ya Leo.
 
Back
Top Bottom