Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,723
Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani wataingiza timu uwanjani au hawatoingiza timu?
Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi kurudiwa kuchezwa siku nyingine au Yanga kupewa point zake 3 na magoli 2? Na Kama TFF ikisema mechi irudiwe. Je, Yanga wazee wa msimamo ulionyooka watakubali? Huu ni mtego mzito Sana kwa TFF
===========