Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,199
- 10,837
Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu ni kujaribu kuwahamisha waTanganyika kutoka katika ishu nyeti ya kitaifa ya No Reform No Election
wa Tanganyika tulale hata lini?
wa Tanganyika tulale hata lini?