Hata sisi tumekuwa wapole siunaona hakuna anayeongea hapa kimyaaaa ila ipo sikuKweli mkuu
Kuna kipindi mlitunyanyasa sana kwa vipondo mfululizo ....sisi tukawa wapole tu
Tutayapangua taratibu yataisha au tutavua gambaMtasubiri sana
Mna matatizo lukuki.......
Kwa hiyo mmechutama tupunguze hichi kipigo?Acha tu hapa tumeshakoma na kukomaa tunasubiri kukauka tu yaani hatuna tofauti na panya wawili wanaokimbizwa na paka kumi