William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Shida ni viongozi wenye tamaa.
Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017.
Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko.
Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi kabisa kubaki. Basi figisu tu ilimradi kilamwaka wasajili.
Tena Okra alimwagwa akiwa wa moto kabisa, Chama hatakiwi kabisa, Phiri na kelele zote za washabiki katemwa. Kapombe na Inonga waliandaliwa njia ya kutokea kupitia mechi ya Yanga.
Sarry kaja kuziba gepu la kiungo mkabaji Kanute.
Simba ikiwa kileleni kabisa karibu kuwatoa Whydad msimu uliopita wachezaji wananyimwa posho.
Alafu msimu unaofata Timu inapata bilion 5 za kusajili wengine.
Kunakoelekea ni wachezaji wote bora watakaotemwa kuelekea yanga. Yani phiri, Chama, Ocra na wengine. Na simba itapitia miaka mingi ya kujivuta vuta