Simba Bora akimbie mechi kama atapangwa na Mamelodi Sundowns

Simba Bora akimbie mechi kama atapangwa na Mamelodi Sundowns

Timu zilizoongoza makundi ni Mamelodi, waydad, esperence na raja casablanca.

Simba hawezi kupangiwa raja casablanca robo fainali sababu wametoka kundi moja.

Wanabaki watatu. Katika hao watatu mamelodi ndie mnyonge.. nenda katazame resume zao katika caf uone.

Simba ni bora apangiwe mamelodi kuliko hao watatu

Huyo Mamelodi mwenyewe toka imeanzishwa hajawai mfunga esperence.

Mamelodi huwa anamuweza Al ahly tu.
Ni kama chelsea inavyomuwezaga man city.. ama wolves anavyoziwezaga timu kubwa za uingereza.
So unamaanisha simba atamuweza mamelod
 
Simba wataitoa, mamelond. Endapo ushindi mechi ya kwanza kwa mkapa. Kunakitu nakiami, rekondi inacheza na mpira unachezwa, aidha angalieni kule ligi ya mabigwa ulaya. R.madrid anachokifanya ndo utajua kwamba rekond inacheza, nikizidi kukuaminisha zaidi tizama, man cty na psg, kunawachezaji wa kiwango cha dunia wanaishi maeneo yao mpaka leo hawana taji la uefa. Arsenal ni clab kubwa na maarufu mpaka leo haijahifadhi, taji lolote la ulaya. Simba watafanya maajabu safari hii,?
Hivi ni vichekesho
 
Wazeni yenu..mkilala Simba mkiamka Simba..mtakonda nawaambia mwaka huu..
 
Ni wale wale, baada ya Simba kupokea vichapo 2 kwenye kundi wakaanza kusema Simba ni mbovu na asahau kuvuka kundi.

Wakati Simba akipanga kushinda mechi 3 za kimkakati yaani Viper nje ndani na home wa Holoya wale wale walibeza vibaya sana na kufikia hatua kwamba Timu bora angeachiwa Mgunda.
Mpira hunadilika, Simba ikabadilika hadi kufikia kumchapa Holoya 7 mtungi, wale wale bila aibu wakasema Holoya ni timu dhaifu kwamba Simba kapangwa kundi hafifu.

Leo wamekuja tena kusema Simba akipangwa sijui na na..ni yaleyale.

Simba mwendo mdundo, timu bora pekee Tanzania, Africa Mashariki na Africa nzima

Hongera wachezaji, hongera uongozi madhubuti na hongera Mashabiki.
 
Hao Mamelodi Sundowns wana nini cha ziada? Shida ya watanzania wengi ni malimbukeni tu.

Bora kupangwa na hao mamelodi kuliko waarabu kwenye hatua ya mtoano.

Udhaifu wa mamelodi ni safu ya ulinzi, wanaingilika tu.
 
Hiyo Mamelod yenyewe msimu wa 5 huu inaishia robo fainali, mwaka jana mliijaza hivihivi mkisema itachukua kombe lakini ikaja kutolewa na Atletico Petroleos kwenye hatua ya robo fainali.
Mamelodi ni timu ya kawaida sana wala haipaswi kuhofiwa kihivyo kikubwa wachezaji wajitume tu. Lolote laweza kutokea.
 
Shida ni Je mnaweza kumfunga??
Kacheza na Al hilal kule South Africa Mamelod akashinda moja tena kwa shida.

Marudiano pale Khartoum walitoka sare ya kufungana.

Sasa Simba na Al Hilal kwenye rank Simba ipo juu ya Al Hilal.

Lolote linawezekana mkuu.
 
Back
Top Bottom