Simba Bora akimbie mechi kama atapangwa na Mamelodi Sundowns

KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns [emoji1221] siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Ni bora wakutane na kinara wa kundi A ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Wydad [emoji1173] au kinara wa kundi D ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa ni Esperance [emoji1249]

Licha ya ubishi wote ambao umekuwepo, kwenye hili la Mamelodi nakataa, Jamaa kwanza wana bonge la timu halafu limeundwa na kundi kubwa la wachezaji wa nyumbani kwao lakini wengi wamekulia katika njia sahihi za kimpira maana kule Afrika Kusini kuna vituo vya soka la vijana vingi kuliko hata idadi ya timu zao.

Safu yao ya ulinzi sio tishio sana ila tatizo kubwa ni ile safu yao ya kiungo na ushambuliaji. Ina watu wana njaa kweli na kumpiga mtu nne, tano na hata sita kwao ni jambo la kawaida wakiongozwa na yule Mnamibia, Peter Shalulile.

Sawa Simba inaweza kupata bao au hata mabao dhidi yao lakini je kwa ile beki ya Simba inaweza kuwazuia wale wasifunge?

Source Shafii daudah

Nini maoni Yako...

Tulia kijana maana nao wanaiwaza Simba zaidi unavyoiwaza wewe
 
Nili lini Mamelod amekuwa bora kuliko Raja, kiasi kwamba unahisi kwakua tulifingwa na Raja basi nao watatufunga?

Kila msimu huwa mnawakweza ila wanaishia kutoka Robo fainali.

Kwa kisimu mitano mfululizo, Mamelod amekuwa hana tofauti na Simba sc, wote huwa wanaishia robo fainali.
Katika hiyo miaka mitano Simba ameishia robo mara ngapi hadi uwalinganishe na Masandawana?
 
Japo sio mfatiliaji wa mpira, ila kama Mamelodi ndo anachezaga kama vile alivyocheza na Al Hilal, basi mnyama amepata pa kutokea.
 
KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns [emoji1221] siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Ni bora wakutane na kinara wa kundi A ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Wydad [emoji1173] au kinara wa kundi D ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa ni Esperance [emoji1249]

Licha ya ubishi wote ambao umekuwepo, kwenye hili la Mamelodi nakataa, Jamaa kwanza wana bonge la timu halafu limeundwa na kundi kubwa la wachezaji wa nyumbani kwao lakini wengi wamekulia katika njia sahihi za kimpira maana kule Afrika Kusini kuna vituo vya soka la vijana vingi kuliko hata idadi ya timu zao.

Safu yao ya ulinzi sio tishio sana ila tatizo kubwa ni ile safu yao ya kiungo na ushambuliaji. Ina watu wana njaa kweli na kumpiga mtu nne, tano na hata sita kwao ni jambo la kawaida wakiongozwa na yule Mnamibia, Peter Shalulile.

Sawa Simba inaweza kupata bao au hata mabao dhidi yao lakini je kwa ile beki ya Simba inaweza kuwazuia wale wasifunge?

Source Shafii daudah

Nini maoni Yako...

Mbona inaeleweka mwisho wetu ni robo
 
Katika hiyo miaka mitano Simba ameishia robo mara ngapi hadi uwalinganishe na Masandawana?
Kwahiyo hapa una jaribu kusema kuwa kufika robo fainali kwa Masandawana ni mafanikio ya kuzungumzia, ila Simba Sc akijisifia hayo mafanikio ndo anaonekana kituko sio?
 
Mpira hauko hivyo mzee mbana kama umedandia fani.
 
Na huyo Mamelodi si ndo alimkandamiza Al Ahly bao 5. [emoji1787][emoji1787]

Walete walete Mamelodi. Teh teh
Na sio mara ya kwanza anamfunga hizo, miaka miwili nyuma alimfunga tano ila aliishia robo kama simba tu
 
KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns [emoji1221] siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Ni bora wakutane na kinara wa kundi A ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Wydad [emoji1173] au kinara wa kundi D ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa ni Esperance [emoji1249]

Licha ya ubishi wote ambao umekuwepo, kwenye hili la Mamelodi nakataa, Jamaa kwanza wana bonge la timu halafu limeundwa na kundi kubwa la wachezaji wa nyumbani kwao lakini wengi wamekulia katika njia sahihi za kimpira maana kule Afrika Kusini kuna vituo vya soka la vijana vingi kuliko hata idadi ya timu zao.

Safu yao ya ulinzi sio tishio sana ila tatizo kubwa ni ile safu yao ya kiungo na ushambuliaji. Ina watu wana njaa kweli na kumpiga mtu nne, tano na hata sita kwao ni jambo la kawaida wakiongozwa na yule Mnamibia, Peter Shalulile.

Sawa Simba inaweza kupata bao au hata mabao dhidi yao lakini je kwa ile beki ya Simba inaweza kuwazuia wale wasifunge?

Source Shafii daudah

Nini maoni Yako...

Kwani robo imepangwa mbna kiherehere match za makundi hazijaisha bado una dakia vya mbeleni
 
Back
Top Bottom