Simba Bora akimbie mechi kama atapangwa na Mamelodi Sundowns

Haya tusubiri tuone Mtani japo utaratibu unakuwaje kwani je kutakuwa na quarter final draw tena au ni njia gani inatumika?

Hapo mtani ni pot mbili, mshindi wa kwanza na wa pili. Kisha wanachukua chungu cha mshindi wa kwanza na wanachukua chungu cha mshindi wa wa pili mnatupwa uwanjani.

Angalizo.
Timu zilizokuwa kundi moja haziwezi kukutana katika hatua hii ya robo. Simba hawezi kupangwa na Raja
 
Ooh! Nimeelewa sasa Mtani.

Haya walete Mamelodi walete. 💃💃💃💃
 
Mtoto wa kiume haipendezi sanaa kuwa na wasiwasi na kazi ambazo wanafanya wakiume wenzio pia,,,Jirekebishe Haswa!!!
 
Taratibu za mipira ya kiafrika zikoje? Kwenye kombe la dunia ilikuwa ikijulikana na kila mtu kwamba mshindi wa kwanza wa kundi A atavaana na mshindi wa pili wa kundi B, kadhalika kwa makundi mengine kama C na D, E na F, G na H.
Kwenye mipira ya hili BARA LA GIZA kwani inafichwa fichwa, UTAPELI wa namna hii ni kwa maslahi ya nani
 
[emoji28][emoji28][emoji28]kwani hawaonyeshi
 
Umelewa wewe? Huoni watu wanabeti hapa kujua Simba atacheza na timu gani? Kwa kawaida ilipaswa kuwa very clear kwamba mshindi wa kundi X atakutana na mshindi wa pili kundi Y
 
Back
Top Bottom