Sajilini quality playersSimba kufika robo sio habari, habari ni kuvuka hiyo hatua. LAKINI:
Kadri Simba inapofungwa na kutolewa robo finali ya mashindano haya makubwa ndivyo inavyopata uzoefu na ujasiri wa kuvuka hiyo hatua katika mashindano yanayofuata. TUSUBIRI DK 90.
Mpira haujachezwaShida ni Je mnaweza kumfunga??
Kwa hiyo hapo mnasubiri kuona tunatokajeSI mpaka iwe hivyo sasa Mtani. 😅
Na ndio anapangwa na Mamelodi hilo lipo waziWakikutana simba anachapwa bao za kutosha pale taifa na kule ugenini, nje ndani.
Hakuna aliyesema unachezwa hewani.Mpira unachezwa uwanjani na ni Dakika 90 zitaamua
Kwa hiyo hapo mnasubiri kuona tunatokaje
Sawa unawajua vizuri Mamelodi lakini ni undefeated kila mechi wanashinda sasa Simba unafikiri ataifungia wapi? Ingawa wanafungika piaMimi naomba, simba ikutane na mamelond kuliko wale waarabu, make wale, waarabu, wanacheza na mbinu ambazo haziko ndani ya mechi yenyewe, kwa mechi hii ya knockeut. Bora kukutana na mamelond, ambako kutachezwa mpira hasilia na rekondi ya simba kwa mkapa, lolote laweza kutokea hio mechi,?
Kama wale Raja tu wamewabandua 3 kwa Mkapa,hao "the Brazilians au Masandawana" si watawabandua 3 kipeo cha tatu?Mimi naomba, simba ikutane na mamelond kuliko wale waarabu, make wale, waarabu, wanacheza na mbinu ambazo haziko ndani ya mechi yenyewe, kwa mechi hii ya knockeut. Bora kukutana na mamelond, ambako kutachezwa mpira hasilia na rekondi ya simba kwa mkapa, lolote laweza kutokea hio mechi,?
Kama wale Raja tu wamewabandua 3 kwa Mkapa,hao "the Brazilians au Masandawana" si watawabandua 3 kipeo cha tatu?Mimi naomba, simba ikutane na mamelond kuliko wale waarabu, make wale, waarabu, wanacheza na mbinu ambazo haziko ndani ya mechi yenyewe, kwa mechi hii ya knockeut. Bora kukutana na mamelond, ambako kutachezwa mpira hasilia na rekondi ya simba kwa mkapa, lolote laweza kutokea hio mechi,?
Nje ndani. 🤣🤣Twasubiria tuone mvua za magoli
Mkuu nimependa hiyo tatu kipeuo cha tatu. 🤣🤣Kama wale Raja tu wamewabandua 3 kwa Mkapa,hao "the Brazilians au Masandawana" si watawabandua 3 kipeo cha tatu?
Ushauri mzuri. Uongozi unafahamu hili.Sajilini quality players
😅😅😅😄Mkuu nimependa hiyo tatu kipeuo cha tatu. 🤣🤣
Nilichogundua ni kwamba Yanga wanaogopa sana kukutana na baadhi ya timu eti kwa kuhofia kipigo. Sasa umesajili klabu ya mpira wa miguu ili iwe inafanya nini kama sio kucheza mpira? Simba huwezi ukawakuta wanazungumzia mpinzani watakayekutana naye, sana sana utakuta wanazungumzia hatua watakayokutana nayo. Acheni uoga, kubali mpinzani yeyote, hiyo ndiyo imeifanya CAF kuiamini Simba na kuipa jukumu la kushiriki michuano ya Super LeagueNa huyo Mamelodi si ndo alimkandamiza Al Ahly bao 5. 🤣🤣
Walete walete Mamelodi. Teh teh
Ni kweli, huwezi kuchukua kombe la klabu bingwa ukiwa na wachezaji wanaotolewa kwenye michuano hiyo ya klabu bingwa na kudondokea kombe la shirikishoUshauri mzuri. Uongozi unafahamu hili.
.KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns [emoji1221] siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Ni bora wakutane na kinara wa kundi A ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Wydad [emoji1173] au kinara wa kundi D ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa ni Esperance [emoji1249]
Licha ya ubishi wote ambao umekuwepo, kwenye hili la Mamelodi nakataa, Jamaa kwanza wana bonge la timu halafu limeundwa na kundi kubwa la wachezaji wa nyumbani kwao lakini wengi wamekulia katika njia sahihi za kimpira maana kule Afrika Kusini kuna vituo vya soka la vijana vingi kuliko hata idadi ya timu zao.
Safu yao ya ulinzi sio tishio sana ila tatizo kubwa ni ile safu yao ya kiungo na ushambuliaji. Ina watu wana njaa kweli na kumpiga mtu nne, tano na hata sita kwao ni jambo la kawaida wakiongozwa na yule Mnamibia, Peter Shalulile.
Sawa Simba inaweza kupata bao au hata mabao dhidi yao lakini je kwa ile beki ya Simba inaweza kuwazuia wale wasifunge?
Source Shafii daudah
Nini maoni Yako...