NyumbaniHivi tutaanzia ugenini au nyumbani? Kwenye Robo fainali
Sawa unawajua vizuri Mamelodi lakini ni undefeated kila mechi wanashinda sasa Simba unafikiri ataifungia wapi? Ingawa wanafungika piaView attachment 2561315
Mamelodi wapo vizuri Ila wakiotewa wanafungwa tu hio ni timu ya Angola imewatoa ulimi nje mwaka JanaMamelodi huwa anamuweza Al ahly tu.
Ni kama chelsea inavyomuwezaga man city.. ama wolves anavyoziwezaga timu kubwa za uingereza.
Mamelodi wapo vizuri Ila wakiotewa wanafungwa tuView attachment 2561353
Mpira dakika 90 mkuu, lolote linaweza kutokea uwanjaniMamelodi anawazidi nini kina Esperence, Waydad, ama Raja casablanca
Kama wale Raja tu wamewabandua 3 kwa Mkapa,hao "the Brazilians au Masandawana" si watawabandua 3 kipeo cha tatu?
Nili lini Mamelod amekuwa bora kuliko Raja, kiasi kwamba unahisi kwakua tulifingwa na Raja basi nao watatufunga?
Kila msimu huwa mnawakweza ila wanaishia kutoka Robo fainali.
Kwa kisimu mitano mfululizo, Mamelod amekuwa hana tofauti na Simba sc, wote huwa wanaishia robo fainali.
Simba kama Simba haiogopi timu yoyote. Simba kazi yetu ni kupambana na timu pinzani ilimradi ni timu ya Mpira wa miguu.
Waarabu wanaowanyanyasa .....wanamuogopa mamelodMimi naomba, simba ikutane na mamelond kuliko wale waarabu, make wale, waarabu, wanacheza na mbinu ambazo haziko ndani ya mechi yenyewe, kwa mechi hii ya knockeut. Bora kukutana na mamelond, ambako kutachezwa mpira hasilia na rekondi ya simba kwa mkapa, lolote laweza kutokea hio mechi,?
Umejibu kimchezo kabisa bila ya ushabiki wowote.Simba kufika robo sio habari, habari ni kuvuka hiyo hatua. LAKINI:
Kadri Simba inapofungwa na kutolewa robo finali ya mashindano haya makubwa ndivyo inavyopata uzoefu na ujasiri wa kuvuka hiyo hatua katika mashindano yanayofuata. TUSUBIRI DK 90.