Simba atafungwa mechi zote final ya shirikisho CAFCC

Simba atafungwa mechi zote final ya shirikisho CAFCC

Kijana, umeambiwa umtafutie kibabu kingine baada ya mimi kupigwa chini. Kwa umri, utakuja ubemendwe. Shauri yako.
Nitambemenda badala ya kunibemenda,umri wangu ni miaka 77 kwa Sasa,nimekwepa mishare mingi🏹🏹
 
Empty beaker
Miaka hiyo wakati nasoma education pale mlimani nilijifunza kitu kinaitwa TABULA RASA, tabula rasa ni jitu lisilokuwa na akili kabisa, In short ni kama halina ubongo kabisa... mfano ni kama hili hapa unalo deal nalo hapa mkuu
 
Ipo siku mtanipa heshima yangu
5imba atafungwa zingine 2 huko Zanzibar
 
Wewe sio Mungu na mimi nabatilisha na kufuta maneno yako kwa damu ya Yesu halafu tarehe 25 tutakutana hapa tuone nani mkweli.
 
Back
Top Bottom