Simba atafungwa mechi zote final ya shirikisho CAFCC

Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Soon kitambo kidogo utaanzisha thread kihusu Ligi ya Morocco ilivyoshuka kiwango mpaka timu za Wydad na Raja kupitwa na timu dhaifu kama Berkane
 
Mpanzu hawezi kuja simba ni wa ulaya

Mpanzu kafeli ulaya anarudi zake timu yake

Mapanzu garasha ndio maana kaja simba

Hatuchezi ,hatuchezi ,hatuchezi hatuchezi.

Mpanzi kaja kwa mkopo simba , yanga wameshamalizana nae juu kwa juu

Hatuchezi hatuchezi hatuchezi hatuchezi
Kama shairi vile..

Hatuchezi hatuchezi hatuchezi
 
Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno

Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final

Nina uhakika 💯 Simba hatapata goli wala on target hata 1. Atafungwa mechi zote na magoli mengi.

Kikosi cha Simba ni dhaifu mno, Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane. Simba haiwezi kupishana na RS Berkane.

Simba ni under dogs 🐶 Kwa RS Berkane

Kila la heri RS Berkane ma champion 🏆 wapya wa CAFCC
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Naandika mambo ku share na wadau
Lakini Kamwe huwa Sina muda na mashindano ya shirikisho
Ila wewe binti siyo bure dishi linayumba . Mumeo ana Kazi kubwa kama uwezo wako wa kufikiri ndiyo huu.
 
Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno

Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final

Nina uhakika 💯 Simba hatapata goli wala on target hata 1. Atafungwa mechi zote na magoli mengi.

Kikosi cha Simba ni dhaifu mno, Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane. Simba haiwezi kupishana na RS Berkane.

Simba ni under dogs 🐶 Kwa RS Berkane

Kila la heri RS Berkane ma champion 🏆 wapya wa CAFCC
1000017325.jpg

Yaaani maneno yote ayo kumbe ni unazi uko mbele🤣
 
Mpanzu hawezi kuja simba ni wa ulaya

Mpanzu kafeli ulaya anarudi zake timu yake

Mapanzu garasha ndio maana kaja simba

Hatuchezi ,hatuchezi ,hatuchezi hatuchezi.

Mpanzi kaja kwa mkopo simba , yanga wameshamalizana nae juu kwa juu

Hatuchezi hatuchezi hatuchezi hatuchezi
yanga bingwa.jpg
 
Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno

Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final

Nina uhakika 💯 Simba hatapata goli wala on target hata 1. Atafungwa mechi zote na magoli mengi.

Kikosi cha Simba ni dhaifu mno, Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane. Simba haiwezi kupishana na RS Berkane.

Simba ni under dogs 🐶 Kwa RS Berkane

Kila la heri RS Berkane ma champion 🏆 wapya wa CAFCC
MWARABU ANA RUNGU.... KAKUTANA NA KASONGO
 
Back
Top Bottom