Simba atafungwa mechi zote final ya shirikisho CAFCC

Simba atafungwa mechi zote final ya shirikisho CAFCC

Mpanzu hawezi kuja simba ni wa ulaya

Mpanzu kafeli ulaya anarudi zake timu yake

Mapanzu garasha ndio maana kaja simba

Hatuchezi ,hatuchezi ,hatuchezi hatuchezi.

Mpanzi kaja kwa mkopo simba , yanga wameshamalizana nae juu kwa juu

Hatuchezi hatuchezi hatuchezi hatuchezi
Uto..chalii.jpg
 
Hapana , Mechi na wale wa South ilikua ngumu kwa Simba ila tukiacha kuangalia mambo kwa mihemko na ushabiki huwezi kuona ugumu wake.

Wale wa South walitolewa na Marefa, walistahili kupata matokeo mechi zote mbili, walipambana uwanjani na walistahili kupata kitu ila dhulma ili waondoa mashindano ni.
Kwasasa Simba wapo vizuri nje ya uwanja ila uwanjani wanazidiwa mbali ata na Azam na Singida.
Tofauti iliyopo ni mipango nje ya uwanja, ata apa kwenye Ligi, Simba Kuna alama zisizo pungua 8/9 wamezipata kwa nguvu ya nje ya uwanja ila uwanjani ilisha shindikana.
Ubayaaa ubwelaaaaaa
 
Huna kazi ya kufanya?
Kutwa kucha kuongea ujingaujinga,mambo ya kipuuzi na ushirikina TU.
Vijana hebu tafuteni kazi za kufanya za kuwaingizia vipato,mjini hapa,ohoo!
Niko kazini mrembo
 
Tatizo lako ni kuwekeza furaha yako kwa Simba. Kusubiria Simba ifanye vibaya ufurahi. Hakuna namna nyingine unaweza kufurahi bila kuihusisha Simba? Maana umekuwa na msimu wa tabu mno.
Hapa naijadili RS Berkane ambayo ndo timu pekee ipo CAFCC bahati mbaya ilitakiwa iwe CAFCL
Me huwa Sina muda na Simba wala hayo mashindano yenu ya UMISETA
 
Ubayaaa ubwelaaaaaa
Kwaiyo Avatar uliyoweka kama ndio wewe halisi, hustaili mambo ya Ubaya Ubwela au kuwa Mshabiki wa Simba.
Avatar inaonyesha mtoto mbichi ume Simama kumbe Simba!!
Mambo ya kuhuzunisha kabisa😀😀
 
Hapa naijadili RS Berkane ambayo ndo timu pekee ipo CAFCC bahati mbaya ilitakiwa iwe CAFCL
Me huwa Sina muda na Simba wala hayo mashindano yenu ya UMISETA
Huwa unaandika mambo mengi mpaka unajipinga mwenyewe.
 
Hapa naijadili RS Berkane ambayo ndo timu pekee ipo CAFCC bahati mbaya ilitakiwa iwe CAFCL
Me huwa Sina muda na Simba wala hayo mashindano yenu ya UMISETA
Hiyo RS Berkane inacheza na nani hiyo fainali ya CAFCC ?.

Ukimsifu mwenye mbio usimsahau anayemkimbiza.
 
Huwa unaandika mambo mengi mpaka unajipinga mwenyewe.
Naandika mambo ku share na wadau
Lakini Kamwe huwa Sina muda na mashindano ya shirikisho
 
Hiyo RS Berkane inacheza na nani hiyo fainali ya CAFCC ?.

Ukimsifu mwenye mbio usimsahau anayemkimbiza.
RS Berkane wapo shirikisho Kwa bahati mbaya ila huyo mwenzako 5imba ni sahihi kuwa huko shirikisho
 
Naandika mambo ku share na wadau
Lakini Kamwe huwa Sina muda na mashindano ya shirikisho
Kama una mke au mtoto 16+ na hajui id yako mpe link ya id yako atoe maoni kuhusu mada zako.

Atakupa honest opinion akijua si wewe unless kama maisha yako halisi yapo hivi ndo atajua ni akili zako.
 
Kama una mke au mtoto 16+ na hajui id yako mpe link ya id yako atoe maoni kuhusu mada zako.

Atakupa honest opinion akijua si wewe unless kama maisha yako halisi yapo hivi ndo atajua ni akili zako.
Sawa mbumbumbu
 
Kwaiyo Avatar uliyoweka kama ndio wewe halisi, hustaili mambo ya Ubaya Ubwela au kuwa Mshabiki wa Simba.
Avatar inaonyesha mtoto mbichi ume Simama kumbe Simba!!
Mambo ya kuhuzunisha kabisa😀😀
Ubayaaaa ubwelaaaa. 😂😂😂😂😂
 
JF ina vitoto vingi sana nowdays. vinaharibu sana JF wewe ukiwa mmoja wao, hapana shaka member mashuhuri wenye upeo wamepunguza sana kutoa mawazo yao.
Hakika mkuu.
Mimi mwenyewe acha tu

Mambo yamebadirika sana humu
 
Back
Top Bottom