toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,480
Ahaaaa, nilikuwa sijaelewa leo kafungwa nani?Berkane hana mchezo wa kuifunga simba wewe.
Ahaaaa, nilikuwa sijaelewa leo kafungwa nani?Berkane hana mchezo wa kuifunga simba wewe.
Na huu ndio ukweli ila ndio mpira na mashindano yalivyoKila la heri RS Berkane ma champion 🏆 wapya wa CAFCC
Mshatiwa 2 huko na mpira umeishaBerkane hana mchezo wa kuifunga simba wewe.
Leo hii mnatumia Yanga kama reference haya maisha hayaTuweke recod sawa
Kwan anaeshabikia mnyama kapoteza ni nani? Wenyewe tunaona game on kbs goli mbili nimatokeo ya kimchezo kbsLeo hii mnatumia Yanga kama reference haya maisha haya
Ukubwa wa timu topolonwewe.Hapana , Mechi na wale wa South ilikua ngumu kwa Simba ila tukiacha kuangalia mambo kwa mihemko na ushabiki huwezi kuona ugumu wake.
Wale wa South walitolewa na Marefa, walistahili kupata matokeo mechi zote mbili, walipambana uwanjani na walistahili kupata kitu ila dhulma ili waondoa mashindano ni.
Kwasasa Simba wapo vizuri nje ya uwanja ila uwanjani wanazidiwa mbali ata na Azam na Singida.
Tofauti iliyopo ni mipango nje ya uwanja, ata apa kwenye Ligi, Simba Kuna alama zisizo pungua 8/9 wamezipata kwa nguvu ya nje ya uwanja ila uwanjani ilisha shindikana.
Kuna timu haikupata hata shot in goal.Duuh mpaka on target umepatia.
Ni kweli timu namba 4 kwa ubora afrika limeshindwa kupata hata on target moja dhidi ya timu namba 9 kwa ubora afrika.