Simba anaichora tu Yanga, TFF na Bodi ya ligi. Wasipoleta Timu Tarehe 15 Basi Simba lazima adai point 3 mezani au agome endapo kanuni hazitafuatwa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini zimeshatangaza tarehe ya Derby kuwa ni June 15. Simba anamuwimda Yanga hajichanganye kutokuleta Timu uwanjani tu ajibebee point. Hapo ndipo msemo wa vita ya panzi furaha kwa kunguru maana yake inatimia.

Wakati Yanga wanarumbana na TFF na Bodi ya Ligi... Simba nao wamevaa darubini wakisubiri kanuni zivunjwe hili nao wagomee au wadai point tatu mezani....

Mechi hii ya tarehe 15 ikihairishwa inakuwa mechi ya 2 ya derby iliyoharishwa kwa Timu hizo hizo ndani ya msimu mmoja.

Ujumbe kutoka Simba baada ya masaa machache ya mimi kupost habari hiyo hapo juu

Screenshot_20250610_104332_Instagram.jpg
 
Hadi saivi Yanga anaongoza dhidi ya Bodi ya ligi.

Kuna uwezekano mkubwa wa kuahirisha mechi kwa mara nyingine tena
 
Shikilieni hapo hapo, msipeleke timu kote kote....sio Kwenye Dabi tu hata Fainali ya CRDB msicheze ng'o...! Mpaka dunia iwatambue nyinyi ni kina nani.!

Nyinyi ni Mazuzu by Manara Haji...
 
Simba wameshapost baada ya mimi kuandika.... na wanasema derby hipo kama kawa
 
Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini zimeshatangaza tarehe ya Derby kuwa ni June 15. Simba anamuwimda Yanga hajichanganye kutokuleta Timu uwanjani tu ajibebee point. Hapo ndipo msemo wa vita ya panzi furaha kwa kunguru maana yake inatimia.

Wakati Yanga wanarumbana na TFF na Bodi ya Ligi... Simba nao wamevaa darubini wakisubiri kanuni zivunjwe hili nao wagomee au wadai point tatu mezani....

Mechi hii ya tarehe 15 ikihairishwa inakuwa mechi ya 2 ya derby iliyoharishwa kwa Timu hizo hizo ndani ya msimu mmoja.

Ujumbe kutoka Simba baada ya masaa machache ya mimi kupost habari hiyo hapo juu

View attachment 3362974
Mh
 
Shikilieni hapo hapo, msipeleke timu kote kote....sio Kwenye Dabi tu hata Fainali ya CRDB msicheze ng'o...! Mpaka dunia iwatambue nyinyi ni kina nani.!

Nyinyi ni Mazuzu by Manara Haji...
Simba washatoa tamko tayari, game hipo
 
Wale waliohairisha mechi kwa sababu ya vurugu hewa tarehe 8/3/2025 wajiandae kuona vurugu halisi na uvunjifu halisi wa amani tarehe 15/6/2025!

habari za tiketi zinawahusu vipi Simba mechi mwenyeji ni Yanga?
Wakizuiwa kufanya mazoezi bado watacheza? MAHABA MZIGO!
 
Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini zimeshatangaza tarehe ya Derby kuwa ni June 15. Simba anamuwimda Yanga hajichanganye kutokuleta Timu uwanjani tu ajibebee point. Hapo ndipo msemo wa vita ya panzi furaha kwa kunguru maana yake inatimia.

Wakati Yanga wanarumbana na TFF na Bodi ya Ligi... Simba nao wamevaa darubini wakisubiri kanuni zivunjwe hili nao wagomee au wadai point tatu mezani....

Mechi hii ya tarehe 15 ikihairishwa inakuwa mechi ya 2 ya derby iliyoharishwa kwa Timu hizo hizo ndani ya msimu mmoja.

Ujumbe kutoka Simba baada ya masaa machache ya mimi kupost habari hiyo hapo juu

View attachment 3362974
Hii ligi bila serikali kuingilia indirect ligi ya msimu huu itakuwa imefia hapa na kutia wadau hasara kubwa!
 
Kwahio bodi wanafata anachotaka 5imba? alisema hachezi tarehe 8 wakafata sasa hivi tarehe 15 pia wanafata matakwa yake?
Wanafata,kwahio,wakafata kiswahili cha wapi hicho?Unamsahihisha mwenye afadhali kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom