Simama wewe sikutongozi


hahahahahaahahhaa nitapita mbalii mita mia watu wa hivyo hawachelewi kukuaibisha hadharani
 
Last edited by a moderator:
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.

Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.

In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.

KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA

weee nawe una mdomo mchafu kama shimoo la choo...heshimu wanawake hukoo!!mxeeew
 
huo mda wa kuchambua huyu ana shida huyu anatongoza naupata wapi, mind u wakikusmamisha watanol , watatu wanataka kutongoza, huchoki?????????????????????????/
 
Wiki kama mbili zilizopita nilikua naangalia kipindi cha vichekesho clouds tv..kukawa kuna jamaaa tongoza tongoza..kila akimwona mdada yeye ni...oooooooiiii.......oooooooooiiiii....oooooooiii........oooooooooiiiii hahahahahahaha dah....!!
 
sasa number imeingia kwenye simu yake si angeisave tu, hadi aombe peni?
 
Mkuu tuwe na heshima japo kidogo kwa mama zetu.

Mwanaume wa kweli hawezi tukana alipotokea na panapompa utamu.

Adabu haiuzwi dukani.

Ahsanta kwa kunielewa.

sidhani kama atarudi huyu, kama sio kuomba radhi, this is JF
 
Wengi huwa hawana lolote zaidi ya kukutongoza.Wengine utaskia sista umedondosha hela, au simu, wengine kuna mdudu anakutembelea saista.Wanataka tu ugeuke.Ukigoma matusi wanakushushia.Siipendi ii tabia.Wachache sana wanakua na la maana.
 

Mie binafsi siwezi kusimamishwa na stranger nikasimama, huwezi jua ana kitu gani. Kwaza dunia ya sasa si ya zamani. NIna mifano ya ndugu, jamaa na marafiki waliotapeliwa kwa kusimamishwa na stranger. To hell kama anataka msaada ni bora awatafuta watu walioketi awaulize!
 
Nimekuelewa mkuu, hiyo kidogo nafikiri ninayo

Ila sijafikiria kwamba heshima na adabu kwa mama iko kwenye K yake.

Ila mwanamke ni mwanamke kwa sababu ana uke . Kuwa mama haimfanyi kutokuwa mwanamke.

upo sawa kabisa hujakosea nakuunga mkono
 
paroko hayo ni majanga tena mm sisimami kabisa nampotezea kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…